Vichwa bora zaidi kuwahi kutokea Tanzania nje ya siasa

Achana na TLS,chukua amewahi kuwatetea watu waliothiriwa na uchimbaji madini Mara
TLS imekuwa ya kisiasa kipindi cha urais wake, aliibadilisha sura ya taaluma ya sheria kuwa siasa.
 
Kuna mtu anaitwa Prof . Sarungi gwiji wa taaluma afya ya mifupa
1.Mohamed Janabi,Mkurugenzi wa Taasisi ya Moyo Muhimbili.
2.Aidan Eyakuze,gwiji wa utafiti na mkurugenzi wa Twaweza.
3.Maxence Melo na Mike Mushi waanzilishi wa JamiiForum
4.Mzee Majuto, Idriss Sultan ,Joti, Koi Mzungu,wachekeshaji.
5.Tundu Lissu,Peter Kibatala , Jebra Kambole na Christpher Mtikila, wanasheria
6.Salum Kikeke, Zuhura Yunus,Charles Hillary, Tido Mhando na Jenerali Ulimwengu,wanahabari.
7.Hellen Kijo Bisimba na Rebeca Gyumi, wanaharakati
8.Waanzilishi wa Max malipo
9.Ruge Mutahaba,Sanaa na burudani
10.Mbwana Ally Samatta.
11.Richard Mabala na Rakesh Rajani,tasnia ya elimu
12.Ali Mufuruki,Mkaa wa Idriss na Alen Kimambo,wafanyabiashara wanamazingira.
13.Masoud Kipanya na James Gayo,wachora katuni

Ongeza wengine
 
1.Mohamed Janabi,Mkurugenzi wa Taasisi ya Moyo Muhimbili na Prof Sarungi.
2.Aidan Eyakuze,gwiji wa utafiti na mkurugenzi wa Twaweza.
3.Maxence Melo na Mike Mushi waanzilishi wa JamiiForum
4.Mzee Majuto, Idriss Sultan ,Joti, Koi Mzungu,wachekeshaji.
5.Tundu Lissu,Peter Kibatala , Jebra Kambole na Christpher Mtikila, wanasheria
6.Salum Kikeke, Zuhura Yunus,Charles Hillary, Tido Mhando na Jenerali Ulimwengu,wanahabari.
7.Hellen Kijo Bisimba na Rebeca Gyumi, wanaharakati
8.Waanzilishi wa Max malipo
9.Ruge Mutahaba,Sanaa na burudani
10.Mbwana Ally Samatta.
11.Richard Mabala na Rakesh Rajani,tasnia ya elimu
12.Ali Mufuruki,Mkaa wa Idriss na Alen Kimambo,wafanyabiashara wanamazingira.
13.Masoud Kipanya na James Gayo,wachora katuni

Ongeza wengine
Umechanganya wengine ni wazungu kama Mabala wa Mabalaa; wengine wanyarwanda kama Aidan Eyakuze; Wahindi Rakesh Rajan etc
 
Kuna wazungu na wahindi wengi ambao ni Raia wa Tanzania,hata bunge la Tanzani lina wabunge ambao sio weusi kama wewe.
Uchunguzi dhidi ya Aidan Eyakuze umekamilika? mara ya mwisho nilisikia uhamiaji bado wako na paspoti yake wanaendelea na uchunguzi,wakisema ni mnyarwanda,nitag nimtoe.

Ukiona mtu anachokochoko na Serikali jua ana asili ya Burundi au Rwanda
 
Kumuweka idris kwenye list ya comediani bora kuwahi kutokea ni ujinga. Idris hana tofauti na kina mc pilipili
Atleast ungemuweka mmoja kati ya hawa
- Max
- Zembwela
- Kingwendu
- Senga
- Bambo
- Joti
- Mpoki
- Masanja
- Mtanga
Watu wa zamani mna kasumba ya kufikiri kila cha zamani ni kizuri na kila kitu kipya ni kibaya. Mtanga zaidi ya Idris?
 
Idriss Sultan na Koi mzungu hao bado kabisa yaani hata ukitaja 20 bora upande wanaofanya comedy hawapo.

Kwa upande wa sheria umewajaza wanasiasa. tupu,ila kuna vichwa vipo kimya lakini upande wa sheria vipo vizuri kishenzi,ila tatizo sio watu wa kamera.
 
Sio kufanya comedy tu, Koi mzungu ametengeneza platform ya kwanza kubwa ya stand up comedy nchini,Idriss anaweza kufanyia comedy kwenye kila ishu.
Idriss Sultan na Koi mzungu hao bado kabisa yaani hata ukitaja 20 bora upande wanaofanya comedy hawapo.
 
43 Reactions
Reply
Back
Top Bottom