Vichwa bora zaidi kuwahi kutokea Tanzania nje ya siasa

Haijulikani dunia nzima, bado hata haijakubalika kiasi cha kutosha na wanasayansi wachache wanaoijua.
Mzee Mpemba mgunduzi wa theory ya fizikia ya Mpemba theory inayojulikana dunia nzima
 
  1. Mohamed Janabi- Mkurugenzi wa Taasisi ya Moyo Muhimbili na Prof Sarungi.
  2. Aidan Eyakuze - Gwiji wa utafiti na mkurugenzi wa Twaweza.
  3. Maxence Melo na Mike Mushi - Waanzilishi wa JamiiForum
  4. Mzee Majuto, Idriss Sultan ,Joti, Koi Mzungu - Wachekeshaji.
  5. Tundu Lissu,Peter Kibatala , Jebra Kambole na Christpher Mtikila - Wanasheria
  6. Salum Kikeke, Zuhura Yunus,Charles Hillary, Tido Mhando na Jenerali Ulimwengu - Wanahabari.
  7. Hellen Kijo Bisimba na Rebeca Gyumi - Wanaharakati
  8. Waanzilishi wa Max malipo
  9. Ruge Mutahaba na Reginald Mengi - Sanaa,burudani na tasnia ya vyombo vya habari.
  10. Mbwana Ally Samatta - Mcheza mpira wa miguu na Filbert Bayi -Mwanariadha
  11. Richard Mabala na Rakesh Rajani - Tasnia ya elimu
  12. Ali Mufuruki, Mkaa wa Idriss na Alen Kimambo - Wafanyabiashara wanamazingira.
  13. Masoud Kipanya, Gado na James Gayo - Wachora katuni
    14.Shaaban Robert,gwiji wa muda wote wa lugha ya Kiswahili.
    15.Wazee wazalishaji wa umeme wa maji Njombe na Andron Mendes wa Kopa Gas
Ongeza wengine
Elias kihombo-unforgatable Tanzania one
 
Sio kufanya comedy tu, Koi mzungu ametengeneza platform ya kwanza kubwa ya stand up comedy nchini,Idriss anaweza kufanyia comedy kwenye kila ishu.
Sijui kuhusu Koi ila kuhusu Idsris acha ubishi hakuna comedian hapo
 
Haijulikani dunia nzima, bado hata haijakubalika kiasi cha kutosha na wanasayansi wachache wanaoijua.
Kwa sababu hiyo siyo field yako ndio maana unaona haikubaliki ila ikishakuwa theory haijalishi unaijua au hauijui itabaki kuwa world wide known theory
 
  1. Mohamed Janabi- Mkurugenzi wa Taasisi ya Moyo Muhimbili na Prof Sarungi.
  2. Aidan Eyakuze - Gwiji wa utafiti na mkurugenzi wa Twaweza.
  3. Maxence Melo na Mike Mushi - Waanzilishi wa JamiiForum
  4. Mzee Majuto, Idriss Sultan ,Joti, Koi Mzungu - Wachekeshaji.
  5. Tundu Lissu,Peter Kibatala , Jebra Kambole na Christpher Mtikila - Wanasheria
  6. Salum Kikeke, Zuhura Yunus,Charles Hillary, Tido Mhando na Jenerali Ulimwengu - Wanahabari.
  7. Hellen Kijo Bisimba na Rebeca Gyumi - Wanaharakati
  8. Waanzilishi wa Max malipo
  9. Ruge Mutahaba na Reginald Mengi - Sanaa,burudani na tasnia ya vyombo vya habari.
  10. Mbwana Ally Samatta - Mcheza mpira wa miguu na Filbert Bayi -Mwanariadha
  11. Richard Mabala na Rakesh Rajani - Tasnia ya elimu
  12. Ali Mufuruki, Mkaa wa Idriss na Alen Kimambo - Wafanyabiashara wanamazingira.
  13. Masoud Kipanya, Gado na James Gayo - Wachora katuni
    14.Shaaban Robert,gwiji wa muda wote wa lugha ya Kiswahili.
    15.Wazee wazalishaji wa umeme wa maji Njombe na Andron Mendes wa Kopa Gas
Ongeza wengine
Ongezea NABII TITO
 
Max malipo walianzisha malipo serikalini na taasisi za umma kwa njia ya mtandao, wakawa wameisanua serikali ikaanzishwa GEPG max malipo ikafa.
Revolution eating its own kid
 
Attachments

  • IMG_20210219_221618.jpg
    IMG_20210219_221618.jpg
    20.1 KB · Views: 6
  • IMG_20210219_221618.jpg
    IMG_20210219_221618.jpg
    20.1 KB · Views: 6
Prof. Justinian Rweyemamu
Edwin Mtei
Issa Shivji
Shaaban Mbwana ...alikua NBAA kipindi chake haikuwahi ku leak paper. Waliopata CPA kipindi chake walistahili kuzipata.
 
  1. Mohamed Janabi- Mkurugenzi wa Taasisi ya Moyo Muhimbili na Prof Sarungi.
  2. Aidan Eyakuze - Gwiji wa utafiti na mkurugenzi wa Twaweza.
  3. Maxence Melo na Mike Mushi - Waanzilishi wa JamiiForum
  4. Mzee Majuto, Idriss Sultan ,Joti, Koi Mzungu - Wachekeshaji.
  5. Tundu Lissu,Peter Kibatala , Jebra Kambole na Christpher Mtikila - Wanasheria
  6. Salum Kikeke, Zuhura Yunus,Charles Hillary, Tido Mhando na Jenerali Ulimwengu - Wanahabari.
  7. Hellen Kijo Bisimba na Rebeca Gyumi - Wanaharakati
  8. Waanzilishi wa Max malipo
  9. Ruge Mutahaba na Reginald Mengi - Sanaa,burudani na tasnia ya vyombo vya habari.
  10. Mbwana Ally Samatta - Mcheza mpira wa miguu na Filbert Bayi -Mwanariadha
  11. Richard Mabala na Rakesh Rajani - Tasnia ya elimu
  12. Ali Mufuruki, Mkaa wa Idriss na Alen Kimambo - Wafanyabiashara wanamazingira.
  13. Masoud Kipanya, Gado na James Gayo - Wachora katuni
    14.Shaaban Robert,gwiji wa muda wote wa lugha ya Kiswahili.
    15.Wazee wazalishaji wa umeme wa maji Njombe na Andron Mendes wa Kopa Gas
Ongeza wengine
Huu ni mchanganyiko wa vinywaji, juisi, mataptap, gongo humohumo ali mradi varangati tyu
 
Back
Top Bottom