Vichwa bora zaidi kuwahi kutokea Tanzania nje ya siasa

Watu wa zamani mna kasumba ya kufikiri kila cha zamani ni kizuri na kila kitu kipya ni kibaya. Mtanga zaidi ya Idris?
Kila mtu na mtazamo wake na maono yake,huwezi kulazimisha kila mtu awaze au apende kitu kama wewe,weka mtazamo wako wewe kama wewe ila usilazimishe mtazamo wako ukubaliwe na kila mtu.
 
Sio kufanya comedy tu Koi mzungu ametengeza platform ya kwanza kubwa ya stand up comedy nchini.
Bado hao kuna akina Bambo, Mpoki, Masanja, Mac Regan, Mtanga, Senga, Pembe, Kicheko, Sumaku, Mkwele, Mzee Small, Kiwewe, Safina, Matumain, Zembwela, Max, Mzee Jangala, King'wendu, Matata.

Huyo Bado kabisa pamoja na hiyo platform aliyo tengeza lkn hajulikani.
 
  1. Mohamed Janab i- Mkurugenzi wa Taasisi ya Moyo Muhimbili na Prof Sarungi.
  2. Aidan Eyakuze - Gwiji wa utafiti na mkurugenzi wa Twaweza.
  3. Maxence Melo na Mike Mushi - Waanzilishi wa JamiiForum
  4. Mzee Majuto, Idriss Sultan ,Joti, Koi Mzungu - Wachekeshaji.
  5. Tundu Lissu,Peter Kibatala , Jebra Kambole na Christpher Mtikila - Wanasheria
  6. Salum Kikeke, Zuhura Yunus,Charles Hillary, Tido Mhando na Jenerali Ulimwengu - Wanahabari.
  7. Hellen Kijo Bisimba na Rebeca Gyumi - Wanaharakati
  8. Waanzilishi wa Max malipo
  9. Ruge Mutahaba - Sanaa na burudani
  10. Mbwana Ally Samatta - Mcheza mpira wa miguu
  11. Richard Mabala na Rakesh Rajani - Tasnia ya elimu
  12. Ali Mufuruki, Mkaa wa Idriss na Alen Kimambo - Wafanyabiashara wanamazingira.
  13. Masoud Kipanya na James Gayo - Wachora katuni
Ongeza wengine
Diamond platnumuz na waynervera yule mdada video yake na mudy ilisambaa anafumuliwa chokochemba
 
Idriss Sultan na Koi mzungu hao bado kabisa yaani hata ukitaja 20 bora upande wanaofanya comedy hawapo.

Kwa upande wa sheria umewajaza wanasiasa. tupu,ila kuna vichwa vipo kimya lakini upande wa sheria vipo vizuri kishenzi,ila tatizo sio watu wa kamera.
Mfano Alikiba wanasema jamaa ni bonge la wakili ila hapendi kabisa watu wajue
 
  1. Mohamed Janab i- Mkurugenzi wa Taasisi ya Moyo Muhimbili na Prof Sarungi.
  2. Aidan Eyakuze - Gwiji wa utafiti na mkurugenzi wa Twaweza.
  3. Maxence Melo na Mike Mushi - Waanzilishi wa JamiiForum
  4. Mzee Majuto, Idriss Sultan ,Joti, Koi Mzungu - Wachekeshaji.
  5. Tundu Lissu,Peter Kibatala , Jebra Kambole na Christpher Mtikila - Wanasheria
  6. Salum Kikeke, Zuhura Yunus,Charles Hillary, Tido Mhando na Jenerali Ulimwengu - Wanahabari.
  7. Hellen Kijo Bisimba na Rebeca Gyumi - Wanaharakati
  8. Waanzilishi wa Max malipo
  9. Ruge Mutahaba - Sanaa na burudani
  10. Mbwana Ally Samatta - Mcheza mpira wa miguu
  11. Richard Mabala na Rakesh Rajani - Tasnia ya elimu
  12. Ali Mufuruki, Mkaa wa Idriss na Alen Kimambo - Wafanyabiashara wanamazingira.
  13. Masoud Kipanya na James Gayo - Wachora katuni
Ongeza wengine
Please rekebisha hii thread yako isomeke hivi:
Vichwa bora zaidi kuwahi kutokea Tanzania nje ya siasa TANGU NIAZE KUWA NA UFAHAMU.

They can not be of all time.
 
Hawa ni tangu mwaka 1961 Tanganyika ilipopata uhuru wake kutoka kwa wakoloni wazungu.

Wataje
Idriss Sultan na Koi mzungu hao bado kabisa yaani hata ukitaja 20 bora upande wanaofanya comedy hawapo.

Kwa upande wa sheria umewajaza wanasiasa. tupu,ila kuna vichwa vipo kimya lakini upande wa sheria vipo vizuri kishenzi,ila tatizo sio watu wa kamera.
 
Sio kujulikana tu, pia ubora,content na kazi kuwagusa wengine wengi.
Bado hao kuna akina Bambo,Mpoki,Masanja,Mac Regan,Mtanga,Senga,Pembe,Kicheko,Sumaku,Mkwele,Mzee Small,Kiwewe,Safina,Matumain,Zembwela,Max,Mzee Jangala,King'wendu,Matata.

Huyo Bado kabisa pamoja na hiyo platform aliyo tengeza lkn hajulikani.
 
Hawa ni tangu mwaka 1961 Tanganyika ilipopata uhuru wake kutoka kwa wakoloni wazungu.
Ni bora ungetaja wamefanya lipi tofauti na waliowatangulia ambao pia wamefanya mambo kama hayo. Siyo kutaja tu majina maana kama ni kutaja tu majina kila mtu humu anaweza kutaja anvyojisikia yeye.
 
Back
Top Bottom