vichekesho huanzia wapi?

Raia Fulani

JF-Expert Member
Mar 12, 2009
10,773
2,545
nauliza maana kuna mabingwa wa kuvisuka hivi vitu hadi unabakia kucheka na kushikilia mbavu. pia nadhani wazungu ndio wanaongoza kwa kubuni vichekesho. yawezekana hii ni taaluma kabisa huko kwao ila huku kwetu ni kipaji tu. pia ukiangalia vichekesho vingi huku jamvini ni vya kizungu. kwani kwao kuna matukio sana? ikibidi lianzishwe shindano la kubuni vichekesho humu jamvini ili turefushe maisha
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom