Vichaa nouma!

Vichaa nouma!

Ernie

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2010
Posts
217
Reaction score
29
Vichaa wanampigia Daktari kelele wanataka kwenda nyumbani ya kuwa wamepona, Dokta kuona kelele zimezidi anaamua kuchkua marker pen anawachorea mlango kisha akawaambia haya fungueni mtoke, jamaa wakaanza kupiga mlango mateke ya kutosha, sasa kuna kichaa mmoja yeye alikuwa amekaa tu wala haangaiki na ule mlango Dokta akamfuata na kumuuliza mbona we umekaa huku hutaki kwenda home? ndipo yule kichaa akajibu "Nawashangaa hawa wanang'ang'ana kufungua mlango wakati funguo ninazo mimi" sasa nani kichaa hapa?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom