KAOROGOMA
JF-Expert Member
- Jun 26, 2015
- 511
- 769
katika hospital moja ya vichaa, Daktari aliamua kupima niwangapi wamepona, katika chumba walichofungiwa alichora alama ya mlango alafu akawaambia ebu tokeni nje wOte wakawa wanajigonga pale ulipochorwa mlango wakidhan ndo mlango wenyewe wanaanguka chini, lakini kichaa mmoja akabaki chini anacheka saaaaaana, Daktari akafarijika kuwa Wenda Huyo kapona kugundua kuwa huo SI mlango, akamuuliza Mbona unacheka??? kichaa akajibu nawashangaa wanajigonga mlangon wakati funguo ninazo Mimi Hahahaha