uberimae fidei
JF-Expert Member
- Dec 16, 2016
- 2,789
- 4,461
ilikuepo Seema namna ya kuisimamia walishidwa kutokana na ukubwa was chuo,tofauti na vyuo Kama if ,cbe na dit,wao waliweza kwa kua padogo ,unakuta getini jamaa wanakupiga stop,na hakuna njia nyingine ya kupitak
ipindi chetu hakukuwa na hizo mishe mkuu hii imekaziwa alivoingia anangisye, jamaa kakaza kila sehemu kwanza avoingia tu wakapiga audit moja matata watu walifukuzwa chuo walikua wanafoji risiti za ada, accountants wa baadhi ya college wenyewe waliliwa vichwa, kweli hatari
Upo kama mwanccyemuKUNA WAPUMBAVU WENGINE...MTU AKIVAA VIBAYA KWAO NI LAZIMA AWE UCHI KABISA...NDIO WAONE AMEVAA VIBAYA...
KWAKWELI KWA HILI MAKAMU MKUU WA CHUO WA CHUO NAMPONGEZA...UDSM MABINT WALIZIDI...UTASEMA WAMEKUJA KUJIUZA...
Mkuu sijui exposure yako kuhusu vyuo lakini nikutaarifu tu kwa TZ Hakuna chuo chenye foreigners wengi Kama Mweka collegemzee hiyo ipo vyuo vya kawaida sijui tumaini college, etc , udsm ni chuo cha kimataifa hatujasoma tu watanzania, wapo watu wanatoka marekani af uje uwaambie ushubwada wa kutokuvaa kaptula au jeans kwani seminary hiyo? au hizo kaptula na jeans zinahusika vipi na kuelewa vitu vinavyofunzwa? Dressing Code is irrelevant to academic perfomance/excellency wapambanie vitu vyenye influence kwenye ufaulu
Mkuu naomba nikujibu hoja zako kama ifuatavyo,hoja kwamba UDSM ndio chuo cha kimataifa pekee sio kweli,almost vyuo Vyote nchini Vina foreigners vingine kuzidi hata UDSM fanya study ktk vyuo vya Mweka na Jordan.mzee hiyo ipo vyuo vya kawaida sijui tumaini college, etc , udsm ni chuo cha kimataifa hatujasoma tu watanzania, wapo watu wanatoka marekani af uje uwaambie ushubwada wa kutokuvaa kaptula au jeans kwani seminary hiyo? au hizo kaptula na jeans zinahusika vipi na kuelewa vitu vinavyofunzwa? Dressing Code is irrelevant to academic perfomance/excellency wapambanie vitu vyenye influence kwenye ufaulu
Mkuu sijui exposure yako kuhusu vyuo lakini nikutaarifu tu kwa TZ Hakuna chuo chenye foreigners wengi Kama Mweka college
Mkuu naomba nikujibu hoja zako kama ifuatavyo,hoja kwamba UDSM ndio chuo cha kimataifa pekee sio kweli,almost vyuo Vyote nchini Vina foreigners vingine kuzidi hata UDSM fanya study ktk vyuo vya Mweka na Jordan.
Hoja kwamba namna ya uvaaji haiathiri taaluma ni upofu wa kufikiri Sawa sawa, mvaaji anaweza asiathirike yeye lakini akaathiri wengine hasa jinsia tofauti.
Halafu kama msomi lazima utambue kwamba kila nchi ina utamaduni wake na katika ulimwengu wa kibepari kuna kitu kinaitwa cultural imperialism,hao wazungu unaowaona na kuwatetea wavae wanavyotaka means wanaeneza utamaduni wao.
Sisi tuna utamaduni wetu na ni lazima tuupiganie,anayetaka kuja Kusoma lazima afuate taratibu zetu hata wewe Ukienda Uarabuni lazima ufuate tamaduni zao za kujisitiri.
Sera ya mavazi ya vyuo vikuu ndiyo inajulisha, hilo bango ni kuwakumbusha tu hivi sasanimesoma pale miaka yote sijawahi kuona hiyo picha/bango, hebu nijulishe lilikuwa wapi mwenzangu?
Ngoja afanye hivyo! Hali ilikuwa mbaya sana, vijana wanaotoka mikoani wameharibu sana magodoro kule mabibo kwa kadhia zilizokuwa zinazuilika.
Mkuu linganisha ya ifm na hii ya udsmMbona hii sera UDSM naiona toka Mwaka 2013, uje ulaumu leo. Na hiyo picha ipo karibu kika chuo
Kila Taifa na tamaduni zake,kama umefuata shule,lakini lazima ufuate Bye Laws za uendeshaji wa Chuo.mzee hiyo ipo vyuo vya kawaida sijui tumaini college, etc , udsm ni chuo cha kimataifa hatujasoma tu watanzania, wapo watu wanatoka marekani af uje uwaambie ushubwada wa kutokuvaa kaptula au jeans kwani seminary hiyo? au hizo kaptula na jeans zinahusika vipi na kuelewa vitu vinavyofunzwa? Dressing Code is irrelevant to academic perfomance/excellency wapambanie vitu vyenye influence kwenye ufaulu
Yani ukimpa mwalimu madaraka anakuja kutibua kila kitu, nimeona sasa hivi wameleta dressing code udsm, hivi chuo cha kimataifa unaletaje mambo kama hayo? Sio tu watanzania wanaosoma hapo, kuna wazungu na watu wa nchi za mbali wengi tu kipindi nimesoma hapo nilikuwa nawaona, na sio kwamba eti kuna watu wanavaa vibaya hapo chuo! La hasha, nimekaa pale miaka mitatu na sijawahi kukuta mtu kavaa vibaya kiasi cha kumkwaza mtu mwingine, yani usikae ukampa mtu wa education madaraka....
Wazo langu, waangalie tena hili swala, huu ndio mwanzo wa kukimbiza wageni kutoka mbali badala wafocus mambo muhimu, wanadili na vitu visivyo na uzito....
CC; prof W. AnangisyeView attachment 1249841