Kanyafu Nkanwa
JF-Expert Member
- Jul 8, 2010
- 850
- 103
BAHIL: ndizi moja sh ngap?
MUUZAJ: ndizi moja sh 100.
BAHILI: nipe kwa sh 60.
MUUZAJI: kwa sh 60 unapata maganda tu.
BAHILI: Sawa basi shika sh 40, nipe ndiz tupu, hayo maganda ya shlng 60 yatoe ubakie nayo mwenyewe.
MUUZAJI: Mshe-nzi mkubwa weye.