Vibwaya

Hawa madogo mbona wameziba midomo nayo ni sehem ya tamaduni?
 
Mshana ina ujumbe gani hii picha najaribu kufikiri naona kichwa kinauma
 
Hawa madogo mbona wameziba midomo nayo ni sehem ya tamaduni?

Hawajafunga midomo as such, nadhani ni majani Fulani wameweka mdomoni na kupuliza na ambayo hutoa mlio kama filimbi. Hata mimi wakati wa udogo wangu tulikuwa tunafanya hivyo wakati tunachunga ng'ombe. Anyway, naweza kuwa nimekosea, it all depends na utamaduni wa watu hao.
 

africa tuna culture flan hiv amaizing yan!
Nimekumbuka kitu
 
Filimbi za mdomoni udogoni kwakweli umenikumbusha mbali.... Nilikuwa na mchuchu wangu nikifika kwao nalia Kama bundi Kisha anatoka

Wewe mshana jr, usituchekeshe bwana, hivi wewe kweli ulichunga ng'ombe wewe na kuwinda sungura, swala na wanyama wengine wadogo wadogo. Wewe inaonekana hujakulia kijijini wewe, teh teh teh.
 
Wewe mshana jr, usituchekeshe bwana, hivi wewe kweli ulichunga ng'ombe wewe na kuwinda sungura, swala na wanyama wengine wadogo wadogo. Wewe inaonekana hujakulia kijijini wewe, teh teh teh.
Mmh aisee ujue nakaribia nusu karne nimewinda mpaka ndezi na kutembea zaidi ya km 15 kwenda shamba
 
Mmh aisee ujue nakaribia nusu karne nimewinda mpaka ndezi na kutembea zaidi ya km 15 kwenda shamba

Duh, Aisee, Mshana jr. una mambo kama umeweza kuwinda ndezi na kukimbiza sungura, basi wewe ni kiboko. Good night, comrade...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…