Vibration msibani

Vibration msibani

FAHMI ABDULRAHMAN

New Member
Joined
Jan 8, 2012
Posts
3
Reaction score
0
Jamaa mmoja alihudhuria msiba,baada ya kuingia msibani tu alianza kulia kwa nguvu zote, baada ya muda mchache alianza kulia kwa staili ya kutingisha mabega, ikabidi jamaa wamuulize vp tena kaka mbona kimya, jamaa akajibu nimeweka vibration, watu wote hoi msiban.
 
Asa akiweka vibrate then ring cpat picha huo mseto wake
 
Back
Top Bottom