Vibinda Digitali, Wanaume tuwe makini.....!!!!!????


tunakoelekea kupata mwanamke oreginal itakuwa ishu kama ilivyo cm original now
 
mmh! sasa yote haya yanaletwa nini? na uzuri ni kwamba hawa magharibi aka wazungu wanajua kutushika aisee

Ulimbukeni wetu ndo unaotumaliza kwa kufanya kitu bila ya kuangalia hasara zake
 
Mwanaume mwerevu name anayejua nn anafanya sidhani kama ------ kwake ni dili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…