Vibaraka wa mabeberu wanaungana!

Karib tanzania. Na hizi ndio siasa za sasa hiv.ukiwabana wanapotea.
Kuna kipindi mabeberu walitunyima pesa zao za millenium challenge kisa tukubaliane na ushoga. Tulikataa upuuzi wao. Kw hiyo wakija na mashariti ya kibeberu hatukubali hata kidogo.
 
Karib tanzania. Na hizi ndio siasa za sasa hiv.ukiwabana wanapotea.
Kumbuka imperialism ni kitu gani ndio utajua. Kati ya misaada ya kweli na misaada ya imperialist. Achana na waduwanzi wa Chadema.
 
Subiri tuone huo muungano wa vibaraka wa mabeberu utakuwa na impact gani.
Mikwara mingine peleka bar tena nenda na bastola.
Mabeberu watoa leo Scholarship kwa watanzania 50 aisee Common Wealthy ...sasa utaona wasaliti eti ndiyo watenda kusoma yaani!
 
Hivi ni kweli kuna nchi zilizoendelea wanatuchukia?na kama ndiyo je ni kwa lipi?
 
Mabeberu watoa leo Scholarship kwa watanzania 50 aisee Common Wealthy ...sasa utaona wasaliti eti ndiyo watenda kusoma yaani!
Ishu ni scholariship au ubeberu? Unaweza kupewa scholariship huku unaambiwa makampuni yanayochimba madinin yasilipe kodi. Jambo ambalo mtia nia wenu wa urais alikuwa analitetea.
 
Kuna kipindi mabeberu walitunyima pesa zao za millenium challenge kisa tukubaliane na ushoga. Tulikataa upuuzi wao. Kw hiyo wakija na mashariti ya kibeberu hatukubali hata kidogo.
Ushoga ni kitu kidogo. Binafsi sikubaliani nacho.
Unajua mirad mingi mikubwa nchi hii imefanyika kwa mikopo yenye masharti.?
 
Aisee hii comment umejamba ile mbaya

Yaani ni mbrrrrrrrr mbrrrrrrrr mbrrrrrrrr mbrrrrrrrr mbrrrrrrrr mbrrrrrrrr mbrrrrrrrr
Kwa hiyo huoni kinachofanyika huko Rufiji? Subirini mchukue nchi ili mruhusu ushoga. Maana wabunhe wenu wa kike nasikia walishaanza mambo ya kizungu.
 
Hata Tanzania inatakiwa ifutwe. Maana inatumiwa na wahuni wa Chadema kutukana viongozi.
No offense na sitetei chadema maana sina uhusiano nao.
In your definition twitter ifungwe sababu ya chadema?
I mean twiter ni mtandao wa kimataifa.
Viongozi karib wote wa serikal wako kule..
Na si yakwetu tu.. serikal za dunia nzima.
Yaan twitter ifungwe kwasababu mmeshindwa kuidhibi chadema mitandaoni?
Hakuna nchi imefunga twitter eti kwasababu ya chama pinzani.
Hiyo ni moja ya sababu za kitoto kuwahi kuzisikia.
Na sion likitokea
 
Ushoga ni kitu kidogo. Binafsi sikubaliani nacho.
Unajua mirad mingi mikubwa nchi hii imefanyika kwa mikopo yenye masharti.?
Kama mfano mradi gani? Ambao unamashariti ya kibeberu? Ushoga sio ishu ndogo ndio maana hapa Tanzania ni jinai.
 
Kudhibiti maana yake serikali iwe na access ya kuwapata hao wanaotukana maana ni kosa la jinai. Twitter wanaweza kuwataja ni akina nani na wapo wapi? Mbona China walifunga na serikali inafanya kazi vizuri tu?
 
Yaani twitter watoe data za watumiaji wao?
Kwanza ni kinyume na sheria za kumtandao.

America walishajaribu hilo, wakapelekana mahakamani na twitter lakin wakashindwa.
China wameshalazimisha kutaka data za watumiaji. Na si twitter tu hadi whatsapp.
Wakakataa ndio maana hiyo mitandao wakafungia.

Kwamba twitter isipofungiwa serikali haifanyi kazi vizuri? Twitter iko miaka yote hiyo na serikal imekuwa ikifanya kazi kama kawaida.
So what your point here?
 
Kumbe unajua hawawezi kutoa data za hao wahuni wanaofanya makosa. Dawa ni kuufungia hapa Tanzania.
 
Donor country inahitaji mkopo??🤩🤩🤩
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…