kukumweupe
JF-Expert Member
- Apr 18, 2020
- 439
- 599
Wameshapoteza.Siwezi kushangaa juu ya hili jambo sababu nia yao mbaya kwa taifa letu inajulikana. Wao siku zote ni kuliombea mabaya taifa letu maana hawataki lifanikiwe kimaendeleo au hata kuwa na amani na utulivu.
Juzi Chadema wamesema wanaweka nia ya kuweka mgombea wa urais Zanzibar,ila kwa sababu hawana nguvu kisiasa hapa Tanzania baada ya kujulikana ni mafisadi na matapeli wa kisiasa wameomba msaada kutoka vyama vingine vya upinzani.
Chama pekee ambacho kimeonesha nia ya kuungana nao ni Act wazalendo.
Na kama waswahili wanavyosema ndege wa rangi moja huruka pamoja. Hawa kwa pamoja huwa hawalitakii mema taifa letu. Wao muda wote huwa wanatumiwa na mabeberu kuhakikisha Tanzania haisongi mbele.
Mfano Act wazalendo walishamtuma kiongozi wao aende Usa kuzuia Tanzania isipate mkopo kwa ajili ya maendeleo ya elimu,Chadema walimuunga mkono asilimia mia.
Ulipoingia ugonjwa wa Covid-19 wao walikuwa wanaomba watanzania wafe kwa wingi ili waibeze Serikali ya Ccm kuwa ilikwama kupambana na ugonjwa huu sababu haikuweka lockdown. Na watu tumewashuhudia viongozi wao wakiombea watanzania wafe kama kuku wa mdondo mbele ya luninga ya Aljazeera.
Swali linakuja nyie vibaraka wa mabeberu hata mkiungana huko Zanzibar au hata kwa urais wa JMT nani atawachagua nyie?
Kama mlikuwa mnataka watanzania wafe kwa wingi ili nyie mpate manufaa ya kisiasa. Nani atawachagua nyie?
Na hata kwenye uchaguzi mkuu swali kubwa litakuwa mlitaka tufe sasa mnatuomba kura za nini?
Nyie vibaraka wa mabeberu na matapeli wa kisiasa.
Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
Haya ni mawe mazito mtu mwenye akili ndogo kama wewe huwezi kuyajibu. Maana October ni aibu kwa wananchi.Dakika inaenda ya 40 tangu ufungue thread watu hata kujibu wameipuuza. Yaani hata kukupinga tu wamedharau
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwasababu ya kutagaAhaaa. Kwa nini?
Kwa hiyo china ikifuta ni dunia nzima imefuta?Twitter ni kitu gani? China walishaifuta kama miaka kumi.
Lakini bado nguvu yake hasa Pemba si ya kubezaMaalim Seif wa 1995 na mwaka 2000 sio wa leo. Kumbuka Ccm mwaka huu hakuna makundi hapo hakuna cha Act wala Chadema.
Miradi ipi hiyo? Una habari kuwa barabara mpya za juu zimejengwa kwa hela ya mabeberu. Chini ua ufadhili wa japan na world bank.Acha story zako kwa makusanyo yapi,haya ya kuwashusha matajiri wawe masikini ili watawaliwe au
Aisee hii comment umejamba ile mbayaHatutaki misaada ya mashariti ya kibeberu. Wasipotoa tunakomaa kivyetu. Mbona miradi kama JNHPP tunajenga kwa fedha za ndani? Jiulize utapata jibu.
Ndio maana mimi nawaitaga mbuzi jikeKama kuna mabeberu maanake kuna majike pia na kwa kawaida ya jike akiwa kwenye heat ndio mambo kama haya mpaka upandwe ndio utatulia.
Mungu wabariki mabeberuSiwezi kushangaa juu ya hili jambo sababu nia yao mbaya kwa taifa letu inajulikana. Wao siku zote ni kuliombea mabaya taifa letu maana hawataki lifanikiwe kimaendeleo au hata kuwa na amani na utulivu.
Juzi Chadema wamesema wanaweka nia ya kuweka mgombea wa urais Zanzibar,ila kwa sababu hawana nguvu kisiasa hapa Tanzania baada ya kujulikana ni mafisadi na matapeli wa kisiasa wameomba msaada kutoka vyama vingine vya upinzani.
Chama pekee ambacho kimeonesha nia ya kuungana nao ni Act wazalendo.
Na kama waswahili wanavyosema ndege wa rangi moja huruka pamoja. Hawa kwa pamoja huwa hawalitakii mema taifa letu. Wao muda wote huwa wanatumiwa na mabeberu kuhakikisha Tanzania haisongi mbele.
Mfano Act wazalendo walishamtuma kiongozi wao aende Usa kuzuia Tanzania isipate mkopo kwa ajili ya maendeleo ya elimu,Chadema walimuunga mkono asilimia mia.
Ulipoingia ugonjwa wa Covid-19 wao walikuwa wanaomba watanzania wafe kwa wingi ili waibeze Serikali ya Ccm kuwa ilikwama kupambana na ugonjwa huu sababu haikuweka lockdown. Na watu tumewashuhudia viongozi wao wakiombea watanzania wafe kama kuku wa mdondo mbele ya luninga ya Aljazeera.
Swali linakuja nyie vibaraka wa mabeberu hata mkiungana huko Zanzibar au hata kwa urais wa JMT nani atawachagua nyie?
Kama mlikuwa mnataka watanzania wafe kwa wingi ili nyie mpate manufaa ya kisiasa. Nani atawachagua nyie?
Na hata kwenye uchaguzi mkuu swali kubwa litakuwa mlitaka tufe sasa mnatuomba kura za nini?
Nyie vibaraka wa mabeberu na matapeli wa kisiasa.
Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
Kila wakiwa kwenye heat lazima wawataje mabeberu. Yaani huko mboga mboga yamejaa mashoga kibaoNdio maana mimi nawaitaga mbuzi jike
Kinachofuata huwa napigwa ban
Kudadadekiiiii ngoja magasho na mbuzi jike wa lumumba wakujeKila wakiwa kwenye heat lazima wawataje mabeberu. Yaani huko mboga mboga yamejaa mashoga kibaoView attachment 1471941View attachment 1471943View attachment 1471944View attachment 1471946View attachment 1471947View attachment 1471948
Japan sio mabeberu ni wadau wa maendeleo. Miaka mingi misaada yao haina mashariti wala nia ya kutunyonya kimabavu. Tanzania ni member WB kama kukopa ni haki yake.Miradi ipi hiyo? Una habari kuwa barabara mpya za juu zimejengwa kwa hela ya mabeberu. Chini ua ufadhili wa japan na world bank.
Hivi kungekuwa na mashine ya kupimia akili ndugu yangu kati yangu na wewe kweli una uhakika unanizidi akili mkuu?Haya ni mawe mazito mtu mwenye akili ndogo kama wewe huwezi kuyajibu. Maana October ni aibu kwa wananchi.
Mapicha ya wapuuzi wa Chadema ya kutengeneza haya. Hayahusiani na mada tunayojadili.Kila wakiwa kwenye heat lazima wawataje mabeberu. Yaani huko mboga mboga yamejaa mashoga kibaoView attachment 1471941View attachment 1471943View attachment 1471944View attachment 1471946View attachment 1471947View attachment 1471948
Yamekugusa na wewe ni mmoja wao. Wacheni tabia mbaya ndiyo maana Mungu alitia kiberiti Sodoma na Gomora.Mapicha ya wapuuzi wa Chadema ya kutengeneza haya. Hayahusiani na mada tunayojadili.