Alikuwa anatafuta kiki na aliipata sasa swali lilipo aulizwe je hawa watu wamepewa nafasi kuingia ndani wamekata.nachofahamu mimi nafasi zote zimejaa ila ukienda ndani ya machinga vibanda vingi viko tupu.Aisee mbona mkulu alisema wasiondolewe mpaka watakapo pewa maeneo ya kuhamia, au ilikuwa ahadi hewa
Nimekuelewa vizuri.Mkuu kwa Tz bidhaa ndio umfuata mteja...hatuna tamaduni ya kufanya shopping so tunanunua tukiona kitu barabarani kikakuvutia
Nilikuwa nawaonea huruma sana walemavu na ni vema huruma kwao iendelee. Lakini kuna hawa walemavu bazazi waendesha bajaji za kariakoo-feri ni balaa. Wana matusi, jeuri, sheria za barabarani wao kama haziwahusu. Navichukia sana hivi vijamaa. Kuna mtu alichukizwa na kilema mmoja akasema labda Mungu alikupa kilema kwa vile ungekuwa mzima ungesumbua zaidi.Inasikitisha sana kwa kweli. Na wengi waliokuwa na vibanda pale ni walemavu
Hiyo ndio hapa kazi tuZoezi la ubomoaji vibanda vyote vya biashara katika jengo la Machinga Complex Ilala , Dar es salaam, limewaacha wengi kwenye majonzi.
Wafanyabiashara hao kwa masikitiko zaidi wanasema kubomolewa vibanda vyao vya biashara na uharibifu wa Mali zao ni uonevu na wao hawana la kufanya.
Kuna taarifa zingine zinasema wafanyabiashara hao walitafadhalishwa na uongozi tokea awali kwamba wabomoe vibanda vyao na wahamie ndani ya Jengo hilo la Dar es salaam Business Park, au Machinga Complex.
Wafanyabiashara wamewasha moto katikati ya barabara eneo la Machinga Complex jijini Dar baada ya kukuta vibanda vyao vimevunjwa.
View attachment 490617 View attachment 490618
Kwa hilo la Bajaj za feri nakuunga mkonoNilikuwa nawaonea huruma sana walemavu na ni vema huruma kwao iendelee. Lakini kuna hawa walemavu bazazi waendesha bajaji za kariakoo-feri ni balaa. Wana matusi, jeuri, sheria za barabarani wao kama haziwahusu. Navichukia sana hivi vijamaa. Kuna mtu alichukizwa na kilema mmoja akasema labda Mungu alikupa kilema kwa vile ungekuwa mzima ungesumbua zaidi.
Gharama ya pango ni shilingi ngapi? Unaweza kuta ishu sio gharama za pango bali ishu ni kuwa watu wamezoea vya bure.Gharama za pango zipo juu,machinga hawaimudu na ndiyo sababu ya kujenga vibanda nje..