Vibali vya ushamisho TAMISEMI

Vibali vya ushamisho TAMISEMI

Msingida

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2010
Posts
10,567
Reaction score
12,206
Vibali vya uhamisho TAMISEMI,

Wadau mliofanikisha kupata nafasi za kuhamia maeneo mliyo omba, ni lini vibali vinatoka? kuna exact date wanatoa vibali au hadi katibu mkuu awe free?

Msaada tafadhali
 
Hii nyie wenye kuomba vibari naomba msaada njianyingine ya kupata uhamisho rahisi bila kubadilishana.
 
Vibari si vinapatikana hukohuko kwa DED? Katibu mkuu katoka wapi tena? Hebu fafanua labda sijakuelewa
 
Vibari si vinapatikana hukohuko kwa DED? Katibu mkuu katoka wapi tena? Hebu fafanua labda sijakuelewa

Vibali vya kuhama vinatokea Tamisemi,then DED anakufungia datasheet tayari kuelekea ulikoomba kuhamia
 
Vile sio vibali ni barua za uhamisho vibari viko kwa DED na kwa katibu tawala mkoa mi navijua vizuri nimevishugulikia vya wife kwhiyo navielewa vizuri
 
Vile sio vibali ni barua za uhamisho vibari viko kwa DED na kwa katibu tawala mkoa mi navijua vizuri nimevishugulikia vya wife kwhiyo navielewa vizuri

DED hatoi kibali cha kuhama mkuu usipotoshe.

Utaratibu ni kwamba katibu mkuu Tamisemi ndiye anatoa vibali ya uhamisho, DED anapokea maelekezo kwa ajili ya kukufungia datasheet kwa lengo la kuhamisha mshahara wako kwenda kule unakohamia.
 
Ganja yupo sahihi kiasi chake na wengine pia.ded anakuombea kibali kwa katibu tawala kuwa upo fresh na katibu tawala anakuombea kibali kwa katibu mkuu tamisemi, halafu katibu anakupa kibali cha kuhama.
 
Kwanini hawa TAMISEMI bado wapo kimya mpaka sasa kutoa hayo majina ya uhamisho?
 
Vile sio vibali ni barua za uhamisho vibari viko kwa DED na kwa katibu tawala mkoa mi navijua vizuri nimevishugulikia vya wife kwhiyo navielewa vizuri


Mbona watu mnapenda sana kupotosha?Au ndo viwango vyetu vya uelewa.Vbali vinatotelewa na katibu mkuu TAMISEMI.RAS anaomba vibali vibali TAMISEMI kwa niaba ya wale wote walioruhusiwa kuhamama na wakapata nafasi huko wanakotaka kwenda.

NA HII INAWAHUSU WALE TU WANAOTOKA NJE YA MKOA.UHAMISHO WA NDANI YA MKOA NDO UNAOTOLEWA KIBALI NA RAS.NDANI YA HALMASHAURI NI MKURUGENZI.
 
Yodoki II,

Haya msaidie mleta mada, vibali hivi vinaweza kuwa vimetoka kufikia lini?
 
Last edited by a moderator:
kiukweli nasubiri kwa hamu sana,mwenyetaarifa tujuze maana wengine tumehamisha had viongo
 
kuanzia kesho majina wanarelease nlikua dom juzi
 
Taarifa za chini ya kapeti kutoka TAMISEMI zinasema kuwa watatoa majina kati ya tarehe 15 - 25 mwezi huu kwahiyo kaeni standby walengwa.
 
Kuna taarifa mbili kutoka TAMISEMI nimepata juu ya huo uhamisho unaosubiliwa, ila sijaelewe ipi ni sahihi kwani taarifa zote zinasema uhamisho utachelewa kutokana sababu ya zoezi la chaguzi za Serikali za mitaa zilizomalizika;- Mtu wa 1 ameniambia mpaka mwishoni mwa mwezi huu na mtu 2 ameniambia huenda ikawa mpaka July mwaka huu.
 
Back
Top Bottom