koma kabisa,mme wangu mpenzi kumwita nyamafu,wewe sema umechukia hapa baada ya kukupa ukweli,NUNGAYEMBE,SUBIRI MENOPAUSE,wakati sisi tunakunywa chai ya saa kumi na vitukuu wewe upweke unakuua,pole bidada
Na kweli kuna wanawake wengine wana gubu ,lakini ukiwa mwanamke wa Mithali sura ya 31 kuanzia mstari wa 10,MBONA UTAIFURAHIA NDOA,of koz kutakuwa na downs ila kila jaribu lina mlango wa kutokea.
Tatizo lenu nyie wanawake mkishaolewa tu then mnabweteka ilimradi tu mliambiwa 'Alichokiunganisha Mungu mwanadamu asikitenganishe'! hao nyumba ndogo real wanajua ku-care japo wanatuibia! ndio maana nyumba ndogo anaachiwa 100,000/= za matumiizi but mke wa ndoa anaambuli 10,000/=! CHANGES BEGIN WITH YOU!
Halafu nyie @Azote na @Nikiwe mna nini? Au mna-share mwanaume?
hayo maneno nayakataa na yakurudie wewe kwa JINA LA YESU,unachokitafuta utakipata,ama kweli DEVIL IS A LAYERAlooo eti chai ya sa10 huo uzee wenyewe hufiki hilo nyamafu lako litakuwa lishakuletea virusi kwenye mizoga anayokula afu mie kufika menopause bado sanaaaa wahi kumpikia nyamafu mwenzio najisubir nipelekwe sebene
unataka nikuchekee,nikuambie maneno matamu umekuwa mme wangu?na bado utaisoma number endelea kutumuka wewe the other woman,hadi ufike menopause,raha ya mapenzi ni kuwa huru,sio upo na mme wa mtu unahofia kuonwa,unahofia mke wa jamaa asijue,Kweli wanawake wazuri wameolewa yamebaki manungayembe yanahangaika na waume za watu,kazi kumwagiwa makombo tu,mwaka huu ni wako endelea kutumika,mme wako ataikuta imetepeta kama ulojo wa bibi juma
Kamanda ntake radhi siwezi share scraper la huyo bibi kizee mumewe ni nyamafu anakula hadi mizoga
Na ni makavu live kwelikweli mumewe anitongoze mwenyewe tena kwa magoti na machozi alafu bibie analeta kibesi bila mpango sawa ye mzuri kawekwa ndani mie wa part time ananifatilia ili iweje?
na wewe mtoa uzi ni msafi??!:yo:
inabidi tu leo niseme mwanamke mimi! eti mimi nimewabatiza wanawake wote wanotembea na waume wa wenzao na kuwaita vibaka wa ndoa! is it a very negative name au ni sawa? kwa nini hatwtulii nao wakapata waume zao, kutwa kucha kuleta mpasuko kwenye ndoa za wenzao? na walio wengi, hata ukiondoka ukawaachia, they cant even make a wife and a home!du!
kwani we unaitwa JEFF,au FRANK au VUSI au LEN ???Hahaha mtani nilikuwa sijaiona hii makitu...
Kama wana ubavu basi waniibe na mimi mume wa mtu...
kwani we unaitwa JEFF,au FRANK au VUSI au LEN ???
STUKA mtani !STUKA!Jina langu ni la Kibantu, naitwa Kyambakitali
STUKA mtani !STUKA!
enh!
mi unaniuizga saa nyingine!
Hahahah mtani yaani hapa hata sikuelewi sijui kwa vile sijanywa chai bado...hebu nipe za gegoni basi usiniache njia panda mie nimeduwaa kama nimekoswakoswa kuangukiwa na kipande cha tofali
ahahhahahhaahha nitafute mtani!
usiniache nikaenda zangu! lol!
Wake za watu mbadilike mtakapoanza kuelewa kuwa adui yenu ni waume zenu na wala siyo wanawake wenzenu mtashinda vita hii badilishen strategy dilin na waume zenu who are the root cause of this problem, msigombane na wanawake wenzenu who are just the outcome of the problem