Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 79,028
- 168,647
Ndio maana nikasema vibabu, maana yake vibabu viwiliMbona wote ni wanaume?au si riziki?
Kuna mapenzi gani hapo?
Hahahaha. Huyaoni mapenzi hapo kaka?
Ila Mungu nahisi anajuta kutuumba. Angeacha mafisi na makenge huku duniani tu.