Belo 1 milion 20???? Wewe jamaa acha kukatisha watu tamaa. Nyie ndo wale wachawi ambao hamtumii tunguliBro acha masihara na Biashara za watu 200,000/= ni mtaji wa mmachinga tuu anaetembea na pair zake 5/8 kwenye begi
Kufungua belo ukiwa na 20m uje hapa kuomba ushauri
Less than that kwa Morogoro hyo hela utajutia Maisha yako yote
We jamaa kwa comments zako,we ni maskini wa fikra na kipato.Kuna Jamaa pale Wanafanya poa sana Kwenye Mtumba kwa Morogoro Haruna, Mussa, PJ Stores, Urassa
Hao ndio wanakimbiza ukiwachek utapata ABCs
Kwa Viatu vya kupoint huyo PJ Stores ndio Bingwa wao hapo Morogoro kwa Viatu vikali Mkoa Mzima
Belo 1 milion 20???? Wewe jamaa acha kukatisha watu tamaa. Nyie ndo wale wachawi ambao hamtumii tunguli
We jamaa kwa comments zako,we ni maskini wa fikra na kipato.
Hakikisha utafata huu ushauri kama kweli unataka faida kwa hii biashara la sivyo utakata mtaji kama ndo kweli unaanza.Nashkuru kwa ushauri wako asante
Belo ni 600,000/- mpaka 1,000,000/-
kutegemeana je unataka belo la ma shoe ya nguvu au vi simples simple?
nakushauri kwa mtaji huo nunua simple kwa 4000/- mpaka 5000/-
ili uuze 8000/-mpka 15000/- jinsi kichwa kitakavyojitokeza au (pimbi)
200,000/- gawa kwa 5000/- ni pair 40 anza nazo kwanza./kama upo mbali tuwasiliane kwa mawazo zaidi
Asante kwa wazo lako zuri na muhmu na nitapataje mawasiliano na weweBelo ni 600,000/- mpaka 1,000,000/-
kutegemeana je unataka belo la ma shoe ya nguvu au vi simples simple?
nakushauri kwa mtaji huo nunua simple kwa 4000/- mpaka 5000/-
ili uuze 8000/-mpka 15000/- jinsi kichwa kitakavyojitokeza au (pimbi)
200,000/- gawa kwa 5000/- ni pair 40 anza nazo kwanza./kama upo mbali tuwasiliane kwa mawazo zaidi
through pm.Asante kwa wazo lako zuri na muhmu na nitapataje mawasiliano na wewe
Huyu PJ ofisi yake iko maeneo gani hapo Moro, siku 1 tumtembelee?Kuna Jamaa pale Wanafanya poa sana Kwenye Mtumba kwa Morogoro Haruna, Mussa, PJ Stores, Urassa
Hao ndio wanakimbiza ukiwachek utapata ABCs
Kwa Viatu vya kupoint huyo PJ Stores ndio Bingwa wao hapo Morogoro kwa Viatu vikali Mkoa Mzima
Huyu PJ ofisi yake iko maeneo gani hapo Moro, siku 1 tumtembelee?