Viatu vya prof. Tibaijuka havimtoshi Lukuvi

Joined
Jan 23, 2015
Posts
15
Reaction score
8
attachment.php

Unapataja jina la Prof. Tibaijuka dunia na ulimwengu inamtambua na kumthamini kutokana na na umahili wake katika maswala ya mipango miji.

Msemo wa nabii hakubaliki kwao umezidi kujidhiilisha baada ya raisi JK kutengua uteuzi wa mwanamama msomi na mtaalam ktk maswala ya Mipango miji na badala yake kumpa nafasi Wiliam Lukuvi ambaye hana hata elimu ya secondary.

SWALI: Je, Darasa la saba Lukuvi ataweza kuvaa viatu ya Prof Tibaijuka?
 
Attachments

  • tibaijuka jf.jpg
    tibaijuka jf.jpg
    23.4 KB · Views: 1,715
attachment.php

Unapataja jina la Prof. Tibaijuka dunia na ulimwengu inamtambua na kumthamini kutokana na na umahili wake katika maswala ya mipango miji.

Msemo wa nabii hakubaliki kwao umezidi kujidhiilisha baada ya raisi JK kutengua uteuzi wa mwanamama msomi na mtaalam ktk maswala ya Mipango miji na badala yake kumpa nafasi Wiliam Lukuvi ambaye hana hata elimu ya secondary.

SWALI: Je, Darasa la saba Lukuvi ataweza kuvaa viatu ya Prof Tibaijuka?
wale wale tu
 
Jamani Tibaijuka hadi anatia huruma, amekonda mno, pole siku ingine uwe makini uwe makini na hawa jamaa.
 
No research No right to comment; kweli wewe umejiridhisha na ulichokiandika hapa kuhusu Lukuvi au unapamba stori!??

Tafuta wasifu wa Lukuvi William kupitia tovuti ya bunge: www.parliament.go.tz ; wachana na porojo au sema uongo unaokaribiana na ukweli kidogo basi tukuelewe??!! Bs
 
Kwa hakika kiti hiko Lukuvi hakimfahi Mama etu Prof.Tibaijuka ndio anakiwezea na anaujuzi wa kutosha katika mipango miji
 
attachment.php

Unapataja jina la Prof. Tibaijuka dunia na ulimwengu inamtambua na kumthamini kutokana na na umahili wake katika maswala ya mipango miji.

Msemo wa nabii hakubaliki kwao umezidi kujidhiilisha baada ya raisi JK kutengua uteuzi wa mwanamama msomi na mtaalam ktk maswala ya Mipango miji na badala yake kumpa nafasi Wiliam Lukuvi ambaye hana hata elimu ya secondary.

SWALI: Je, Darasa la saba Lukuvi ataweza kuvaa viatu ya Prof Tibaijuka?

1. Usituharibie lugha yetu
2. Acha wivu. Lukuvi ana Master of Arts. Kama huna taarifa, uliza.
 
mimi nikisikia jina la Tibaijuka napata picha ya mama flani mwizi na fisadi asiye na tone la huruma.
 
Wewe unaesema Tibaijuka anatia huruma na amekonda umemuoma au umejisikia kuandika tu....
 
si haba kazi kapewa mtu wa USALAMA WA TAIFA bwana Lukuvi (mwenyewe hijisifu kuwa yeye ni mtu wa usalama)

naona wamejipanga kweli kweli...Pinda Lukuvi...
 
Mawaziri wamekwisha ndio maana ameanza kuokoteza, wakifukuzwa mawaziri hawa waliopo maana hawachelewagi kukwapua atachaua wahindi kama Dewjim zungu , murji n.k
 
Back
Top Bottom