Viatu vya prof. Tibaijuka havimtoshi Lukuvi

Viatu vya prof. Tibaijuka havimtoshi Lukuvi

Hiyo picha unayoovut kichwani kwako ya kuwa "tibaijuka ni mama flani mwizi na fisadi asiye ata na tone la huruma" ni mawazo yako ya kimaskini kwa taarifa ni mama na mwanamke mwanamapinduzi anatependa kusaidia watu na pia ni msaada mkubwa kwa baadhi ya watu.kuna watu wanasoma na wengine wana elimu kwa sababu ya mama Tubaijuka hivyo kwa tahadhali acha kumchafulia jina mama wa watu kama hauna cha kuandika kaa kimyaaa na sio kuandika upuuzi
 
Hiyo picha unayoovuta kichwani kwako ya kuwa "tibaijuka ni mama flani mwizi na fisadi asiye ata na tone la huruma" ni mawazo yako ya kimaskini kwa taarifa ni mama na mwanamke mwanamapinduzi anaependa kusaidia watu na pia ni msaada mkubwa kwa baadhi ya watu.kuna watu wanasoma na wengine wana elimu kwa sababu ya mama Tubaijuka hivyo kwa tahadhali acha kumchafulia jina mama wa watu kama hauna cha kuandika kaa kimyaaa na sio kuandika upuuzi
 
Daudi mchambuzi we una akili ndogo sana unapenda kubisha kitu hujui lukuv ni msomi wa open University na ana masters coz mi nafanya Kaz hapo hicho kitengo na mleta maada ni mpuuz coz unaongea kitu huna uhakika nacho kuhusu elimu lukuvi anayo labda ungeongelea mengine
 
Nani hajui kuwa kwa Tanzania si tatizo mtu yeyote kuwa Waziri au Rais wa nchi! Ingawa kwangu ni vichekesho lkn diyo huo UKWELI!
 
Mlitaka rais avunje baraza sasa mnalia mini kuletewa hawa? so mlitaka wenyewe jamani?
 
Hiyo picha unayoovuta kichwani kwako ya kuwa "tibaijuka ni mama flani mwizi na fisadi asiye ata na tone la huruma" ni mawazo yako ya kimaskini kwa taarifa ni mama na mwanamke mwanamapinduzi anaependa kusaidia watu na pia ni msaada mkubwa kwa baadhi ya watu.kuna watu wanasoma na wengine wana elimu kwa sababu ya mama Tubaijuka hivyo kwa tahadhali acha kumchafulia jina mama wa watu kama hauna cha kuandika kaa kimyaaa na sio kuandika upuuzi

Kachafuliwa au kajichafua?
 
Kama viatu havitomtosha,basi atavaa gauni,blausi na mavazi mengine yatamtosha
 
attachment.php


Unapataja jina la Prof. Tibaijuka dunia na ulimwengu inamtambua na kumthamini kutokana na na umahili wake katika maswala ya mipango miji.

Msemo wa nabii hakubaliki kwao umezidi kujidhiilisha baada ya raisi JK kutengua uteuzi wa mwanamama msomi na mtaalam ktk maswala ya Mipango miji na badala yake kumpa nafasi Wiliam Lukuvi ambaye hana hata elimu ya secondary.

SWALI: Je, Darasa la saba Lukuvi ataweza kuvaa viatu ya Prof Tibaijuka?

Lukuvi hana hata basic education ?
 
hajajichafua amechafuliwa na watu ambao hawajui lolote wanasikia tu na kuongea kashfa
 
Back
Top Bottom