Viatu vya plastic fashion inayobamba muda mrefu

Donatila

JF-Expert Member
Oct 23, 2014
7,557
21,515
Habari wakuu,

Kumekuwa na aina ya viatu vingi vya plastic ambavyo watu huvaa na kupendeza.

Hapo nyuma kidogo viatu hivi vya plastic ilikuwa vikiitwa yeboyebo.

Watu waliokuwa wanavaa walidharauliwa kulingana na muonekano wake.

Mapaka wakatungia wimbo sikumbuki wimbo huo ila nakumbuka tu unaposema "chini ana yeboyebo".

Lakini siku zilivyozidi kwenda kukaja viatu vya aina hiyo ya yeboyebo ila vikaboreshwa.

Yeboyebo ni viatu ambavyo vimebamba sana kwa muda Sasa.

Ni kwakuwa vimekuwa vikitolewa aina mbalimbali Kila mara.

Tena vikachukua nafasi Ile ya kuchukiwa na kupendwa zaidi na watu.

Aina za viatu hivi vya plastic zipo nyingi ila kuna aina ya Crocs.

Kiatu hiki cha plastic cha aina ya Crocs kimekuwa kikiuzwa bei ya juu .

Pia kina muonekano mzuri sana na watu wanaovaa hupendeza sana.

Wanaume kwa wanawake wamekuwa wakivalia viatu hivi na kudamsh.

Pia viatu hivi vya plastic vimekuwa vikidumu kwa muda mrefu.

Vimesaidia watu pia kwa kudumu kwa muda mrefu.

Msimu wa mvua pia vinawabeba wengi maana vinapita popote.

Picha naomba msaada mods mnowekee
 
IMG_8296.jpg

Crocs zetu ni hizo
 
"Bishoo kapiga pamba chini ana yeboyebo, utamwambia nini, bishoo dume la mbegu... "
 
Back
Top Bottom