Viatu challenge

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Siku ya kwanza kuviona hivyo viatu nilistuka, nilijua paka kalala juu ya mguu wa msichana, kumbe fashion.
Mie nilivichukia kitambo sana hutwo tuviatu na wavaaji wake wana tabia mfanano kabisaaa ninao madogo wanatwo basi ukikuta wameongozana........utacheka ukufwe
 
Hahaha! Usiku weekend yangu inakua murua!
Et" nishakaa south africa"[emoji23][emoji23]
 
🀣🀣🀣
Ati nina bodaboda wangu!!πŸ˜‚πŸ˜‚

Tunakuja ila hatujala🀣🀣


Mkuu umesahau wale wa hiyo hela tuma kwenye namba hii..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…