Viatu Africa Kenya

Geza Ulole

JF-Expert Member
Oct 31, 2009
59,226
79,517
14666076_1121691761242415_8549037183049774587_n.jpg
 
kama una viatu huihitaji unaweza saidia hawa watu waache kelele!
Makatambuga yapo mengi mno huku kwetu ngoja kesho tuwatumie na choppers za sungusungu army wakazipokee pale jomo Kenyatta airport... Ila angalizo "Makatambuga hayo yatakuwa special wa watu wa Mombasa na Naiiii"
 
Ila ninyi WaTz mna hii shida ya jiggers hata kutushinda bali mmeshindwa kuikabili hadi Wakenya ndio wanakuja huko kumsaidia.
Anti-Jigger Campaign Program | The Center for Health Market Innovations

You know the difference between Kenyan media and their Tanzanian counterpart, is that Kenya prefers to expose it's nakedness while Tanzania hides it's own. Good thing is when you know you are naked, you'll try and cover yourself, the other sides lives in self denial.
So endeleeni kutpa mapicha hapa kumbe watu wenyu wanaumia na hakuna wa kuwasaidia.. waswahili mimi huwa nawashangaa sana kusema ukweli.

Panic as jiggers hit southwestern Tanzanian villages ...
Roundup: Panic as jiggers hit southwestern Tanzanian villages - China.org.cn

Jigger flea infestation (tungiasis) in rural western Tanzania: high prevalence and severe morbidity.
Jigger flea infestation (tungiasis) in rural western Tanzania: high prevalence and severe morbidity. - PubMed - NCBI
 
Ndio hao hukoo! wamejiicha vichakani kuwaficha waadhiriwa wasionekane zaidi baada ya kuumbuliwa.
 
Wabongo hawananga shukrani kabisa, shirika la kupambana na funza (Ahadi Kenya) limeingia Tanzania kuwaokoa kutokana na hilo janga ambalo wamelificha kimya, halafu wao kazi ni kujishaua wakati wenyewe maskini wa kufa tu. Wanawaficha waathirika wao eti wasione aibu.

Hawa watu unahitaji roho ngumu ya chuma ili uwasaidie, yaani ni mtu unaweza kumsaidia huku akikutukana maana wana kiburi cha ovyo, maskini kuwa na kiburi ni laana mbaya. Inabidi unafumba macho na kuziba maskio na pua ili umsaidie tu maana hamna namna.

Hii hapa picha ya shughuli za hilo shirika la Kenya likiwasaidia watoto waliofichwa kwa ajili ya kiburi cha upumbavu ilhali maskini tu.

moshi%203.jpg

moshi%202.jpg

Volunteers helping cure jiggers during an Ahadi Kenta Trust medical camp in Arusha, Tanzania
GET INVOLVED
 
That man is not Kenyan volunteer as u said He's 2007 Big Brother Africa winner from Tanzania.... You lied LOL
1476450371376.jpg
1476450390716.jpg
1476450395365.jpg
 
That man is not Kenyan volunteer as u said He's 2007 Big Brother Africa winner from Tanzania.... You lied LOLView attachment 418006View attachment 418007View attachment 418008

Hehehehe!! Mbona huwa mnatia huruma, maana Kingereza kilishawapiga chenga na hamkijui, sasa hata tukitumia Kiswahili kinawapa chenga pia halafu lugha zenu za asili mlishazitelekeza, mnaishi maisha mgumu sana nyie na ndio maana mnaendelea kubaki nyuma.

Naomba usome sentensi yangu hii mara tano bila mihemko "Hii hapa picha ya shughuli za hilo shirika la Kenya". Kwamba shughuli zilikua za shirika la Kenya, sijaongea kuhusu watendaji wa kujitolea, iwe walikua Wabongo (wasiokua na aibu ya kipumbavu) au Wakenya, mwisho wa siku shirika la Kenya ndio lilikuja na kuibua hiyo aibu ili Watanzania wanaofichwa wanufaike.
Mashirika yenu na vyombo vya habari huwa vinatia huruma, wapo kimya kwa kila ovu, wameiga kiburi chenu cha kuficha uchafu wowote. Vijijini albino wanatafunwa kimya kimya ilihali hayo mashirika yamefyata tu basi.
 
Wabongo hawananga shukrani kabisa, shirika la kupambana na funza (Ahadi Kenya) limeingia Tanzania kuwaokoa kutokana na hilo janga ambalo wamelificha kimya, halafu wao kazi ni kujishaua wakati wenyewe maskini wa kufa tu. Wanawaficha waathirika wao eti wasione aibu.

Hawa watu unahitaji roho ngumu ya chuma ili uwasaidie, yaani ni mtu unaweza kumsaidia huku akikutukana maana wana kiburi cha ovyo, maskini kuwa na kiburi ni laana mbaya. Inabidi unafumba macho na kuziba maskio na pua ili umsaidie tu maana hamna namna.

Hii hapa picha ya shughuli za hilo shirika la Kenya likiwasaidia watoto waliofichwa kwa ajili ya kiburi cha upumbavu ilhali maskini tu.

moshi%203.jpg

moshi%202.jpg

Volunteers helping cure jiggers during an Ahadi Kenta Trust medical camp in Arusha, Tanzania
GET INVOLVED
That's pedicure and manicure I didn't see the massive jiggers tragedy like that of yours in Arusha never alafu from when a bigbrither winner being a volunteer to the function not worthy even a penny??? Maybe if Richard was the organisor himself.
 
Hehehehe!! Mbona huwa mnatia huruma, maana Kingereza kilishawapiga chenga na hamkijui, sasa hata tukitumia Kiswahili kinawapa chenga pia halafu lugha zenu za asili mlishazitelekeza, mnaishi maisha mgumu sana nyie na ndio maana mnaendelea kubaki nyuma.

Naomba usome sentensi yangu hii mara tano bila mihemko "Hii hapa picha ya shughuli za hilo shirika la Kenya". Kwamba shughuli zilikua za shirika la Kenya, sijaongea kuhusu watendaji wa kujitolea, iwe walikua Wabongo (wasiokua na aibu ya kipumbavu) au Wakenya, mwisho wa siku shirika la Kenya ndio lilikuja na kuibua hiyo aibu ili Watanzania wanaofichwa wanufaike.
Mashirika yenu na vyombo vya habari huwa vinatia huruma, wapo kimya kwa kila ovu, wameiga kiburi chenu cha kuficha uchafu wowote. Vijijini albino wanatafunwa kimya kimya ilihali hayo mashirika yamefyata tu basi.
Hivi ukisema uongo unalipwa unajiaibisha you can't balance shit hapa kubalini Kenya mnatia aibu na mafunza yenu miguuni hiki unachojaribu kuaminisha watu ni upuuzi mtupu.

Hakuna NGOs yoyote ya Kenya iliyowahi kuja Arusha. Kuratibu huo upuuzi hapo ilikua ni zoezi la kuwajengea wanafunzi tabia ya kufanya usafi wa mwili huoni hata hapo wanawakata kucha za mikononi shiiiit na mikononi wanakaa funza punguani wewe????
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom