Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 14,597
- 18,414
Hata viapo vya masonic ,jina la yesu linatajwachakunifurahisha ktika hivyo viapo jina la Bwana Yesu limetajwa tena mara nyingi, kumbe sio wapinga Kristo yesu alisema wasio kinyume nasi ni miongoni mwetu.
mtoa mada kajipange!
Katika wote hao unaosema.Mbona kila imani ina amini ndo wao watakuja kutawala wengine tuamini lipi
Hahahaha hahahaha kazi unayo.....!mtoa mada kazungumzia kuhusu kidogo kuhusu Jesuit and their operation in teh world watu mnatoa mapovuuuuu
naona amjui vizuri roman empire ni kitu gani mmebaki anachafua dini za watu sijui nini
msiwe wavivu wa kusoma na kufatilia mambo
hakuna kiongozi utawala wa dunia hii ambao uko kinyume na roman empire ndio mana pope anaenda sehemu yyt dini yyt na anapokelewa na kusikilizwa very respectful leader
nchini tanzania uchaguzi uliopita kanisa la lutheran church lilikua kwenye battle na kanisa la roman cathoric
ujumbe wa roman cathoric kwa raisi wa sasa ulitekelezwa mkoani mbey katika kampeni ambapo
watumishi wa kanisa sisters walitumwa kumpa barak our president
hapo ndo tukaona ana amka na kusimama zaidi na kuanza kueleweka miongoni mwa watanznia
nothing operates without roman empire in the world
juzi juzi baada ya pope kutoka saudia ambako pia alishiriki ibada ya ijumaa msikiti mmoja kama waislam wengine akaondoka na kurudi italy vatican rais wa marekani trump alimfata na kuzungumza nae
pope is the father of this world a highly ranked leader very powerful
nyie wakatoliki wavivu wa kusoma poleni
Acha povuNIMESHTUSHWA NA MTOA MADA. SIJAONA UKWELI WOWOTE KATIKA ALICHOANDIKA. AMEKOPI NA KUPEST. AENDE KUSOMA VIZURI NA KUFANYA RESEARCH. IMANI YA WATU SIO JAMBO LA KUCHEZEA
WASABATO lengo Lao kuu sio kuhubili na kumtangaza Kristu lengo Lao kuu ni kupata waumini waongeze sadaka makanisani kwao................ndio maana wao wanashambulia makanisa mengine yanayo Muhubiri Kristu......MSABATO atamshambulia mkatoliki...hataishia hapo atamshambulia mlutheli.....atamshambulia muanglikani.....hataishia hapo atamshambulia muislam....YOTE NI KUJINADI KUWA WAO NI KANISA BORAMaana Halisi na kazi ,malengo ya Jesuit Fathers Worldwide: Wasabato acheni kupotosha watu na Masalia Yenu
Jesuit Society ,The Society of Jesus, more commonly known as the Jesuits, is a society within the Roman Catholic Church that was founded by Ignatius of Loyola and instituted by Pope Paul III. The Jesuit society demands four vows of its members: poverty, chastity, obedience to Christ, and obedience to the Pope. The purpose of the Jesuits is the propagation of the Catholic faith by any means possible.
Ignatius of Loyola was a Spanish nobleman and intended to have a career as a professional soldier. A cannonball shattered his leg in 1521, and his career was shattered with it. During his long recovery at the castle of Loyola, he spent much time reading religious books, fasting and praying. As a result of these studies, Ignatius decided to become a soldier of Christ, and hung up his sword at the altar of Mary in Montserrat. From 1522 to 1534, Loyola traveled to monasteries and schools, studying and praying in preparation for a life consecrated to Christ. Toward the end of his graduate studies at the University of Paris, he and six friends who had been meeting for times of extended prayer and meditation vowed to continue their companionship after graduation by living in evangelical poverty and traveling as missionaries to Jerusalem. When war between the Turks and Venice prevented their passage to Jerusalem, they determined to work in the cities of northern Italy. Loyola presented his plan for service to the Vatican and received a papal commission from Pope Paul III in 1540, with Loyola receiving a lifetime appointment as General.
With the threat of Islam spreading across the Mediterranean region, the Jesuits' first focus was the conversion of Muslims. Shortly after the founding of the order, their focus shifted to counteracting the spread of Protestantism. The Counter-Reformation in the 16th and 17th centuries was largely due to the Jesuits. With their vows of total obedience to the Pope and their strict, military-style training, the Jesuits became feared across Europe as the “storm troopers” of the Catholic Church, and they led armies which recaptured large areas for the Roman Catholic Church. Along with the military actions, their work centered on education and missionary expansion, and by the end of Loyola's life in 1556, there were Jesuits in Japan, Brazil, Ethiopia, and most parts of Europe. Many of the explorers of that period were accompanied by Jesuit priests, eager to bring Catholicism to new lands.
The Jesuits are still active in the world today, though the military actions of those early years have been left behind. The goal of spreading the Catholic faith is still their primary objective, and they do it through missionary work and education. As for their beliefs, they hold to the historic teachings of the Roman Catholic Church. The practice of “Ignatian spirituality” follows the spiritual exercises of Ignatius Loyola and forms the foundation of their daily lives. The goal of these practices is to conquer and regulate the inner personal life so as to be submissive to God. One of the key practices is separation from all friends and acquaintances, in order to attend Mass and Vespers daily without interference. Another practice is deep and constant meditation on the sins that have been committed, so as to rouse intense sorrow for sins. To address all of their exercises would take far more space than this article allows.
As is the case with the Catholic Church in general, there is certainly an appearance of godliness and spirituality that is readily seen in the Society of Jesus / Jesuits. When we compare their beliefs and practices with the Bible, however, it would appear that they have “a form of godliness, but denying the power thereof” (2 Timothy 3:5, KJV). The difference between Roman Catholic belief and the biblical presentation of the gospel has been well phrased in a question “do or done?” What must I do to get to heaven (Catholicism), or what has Christ done to get me to heaven (biblical Christianity)?
ww.gotquestions.org/Jesuits-Society-of-Jesus.html
Sijui kama hilo litaweza kutokea.Ifike wakati nyie wa adventist muwe mnahubiri neno la amani na sio kuleta maneno yasiyo natija yenye vitisho na yasiyo na ukweli wwt
UTAVISIKIA WAPI , KANISAN X MASS MPAKA X MASS NA BIBLIA ANAKUSOMEA PADREhvyo viapo huapa wakiwa wapi maana sjawahi kusikia katika misa za upadrisho viapo vya aina hyo ?
MSIKILIZE MJESUIT PADRE MALACH MARTINWASABATO lengo Lao kuu sio kuhubili na kumtangaza Kristu lengo Lao kuu ni kupata waumini waongeze sadaka makanisani kwao................ndio maana wao wanashambulia makanisa mengine yanayo Muhubiri Kristu......MSABATO atamshambulia mkatoliki...hataishia hapo atamshambulia mlutheli.....atamshambulia muanglikani.....hataishia hapo atamshambulia muislam....YOTE NI KUJINADI KUWA WAO NI KANISA BORA
MWNJILI MAT 7:15 anatuasa tujihadhali na manabii wa uongo
I BLNG 2 JESUS CHRST
WEWE ACHA UJUAJI WAKATI HUJUISijui kama hilo litaweza kutokea.
Nabii wao Ellen G White, amewaachia vitabu vingi sana vyenye maagizo makuu mawili ya kuyafanya.
1. Kuishika sabato.
1. Kuwakashifu Waroman Cathoric.
Haitatokea Wasabato wakawasema vibaya madhehebu mengine, hawajaagizwa kusema hivyo na Nabii wao, Ellen.
Ninachotaka kuwashauri Wasabato.
Bwana Yesu alisema
"Ombeni neno lolo kwa jina langu nami nitafanya"
Wawaombee Waromani Cathoric ili wawe watakatifu kama wao kama wanawaona ni Wapinga Kristo. Waombee ili nao waweze kuishika Sabato vizuri.
Wasiwaogope Waroma kuwa watatawala dunia na kuwatesa kwani Bwana Yesu alisema
"Msimuogope mtu anayeuwa mwili bali mwogopeni yeye auwaye mwili na roho"
Sasa waanze kuhubiri Habari Njema ya Kristo badala ya kila kukicha kuwasema Waroma.
Wawasamehe Waroma kama Kristo alivyoagiza kuwa, wawasamehe hadi maadui zao na kuwapenda.
Waache kumwamini sana na kumfuatisha Ellen G White kila alichokisema, bali wamtii Yesu Kristo ambaye aliagiza wanafunzi wake na kuwaambia÷
"Na katika kuenenda kwenu, hubirini, mkisema, Ufalme wa Mbinguni umekaribia. Pozeni magonjwa, fufueni wafu, takaseni wenye ukoma, toeni pepo, mmepata bure toeni bure"
Mathayo 10 : 7 - 8
Waanze kwenda kwa jamii ya wasiokuwa Wakristo na kuwahubiria Injili badala ya kuendekeza mambo ya chuki, malumbano kwa Waroma.
Papa alishaomba radhi na kitubu kwa mambo yaliyofanywa na viongozi wa kanisa huko nyuma, hivyo kama ni Wakristo wa kweli inabidi wamsamehe na ikiwezekana wamshauri Papa kuishika vizuri hiyo Sabato.
Waache kuendelea kuhubiri chuki kwa Waroma kila kukicha.
Nawasilisha.
Vicorious filli deimtoa mada kazungumzia kuhusu kidogo kuhusu Jesuit and their operation in teh world watu mnatoa mapovuuuuu
naona amjui vizuri roman empire ni kitu gani mmebaki anachafua dini za watu sijui nini
msiwe wavivu wa kusoma na kufatilia mambo
hakuna kiongozi utawala wa dunia hii ambao uko kinyume na roman empire ndio mana pope anaenda sehemu yyt dini yyt na anapokelewa na kusikilizwa very respectful leader
nchini tanzania uchaguzi uliopita kanisa la lutheran church lilikua kwenye battle na kanisa la roman cathoric
ujumbe wa roman cathoric kwa raisi wa sasa ulitekelezwa mkoani mbey katika kampeni ambapo
watumishi wa kanisa sisters walitumwa kumpa barak our president
hapo ndo tukaona ana amka na kusimama zaidi na kuanza kueleweka miongoni mwa watanznia
nothing operates without roman empire in the world
juzi juzi baada ya pope kutoka saudia ambako pia alishiriki ibada ya ijumaa msikiti mmoja kama waislam wengine akaondoka na kurudi italy vatican rais wa marekani trump alimfata na kuzungumza nae
pope is the father of this world a highly ranked leader very powerful
nyie wakatoliki wavivu wa kusoma poleni
Kumbuka Ellen G White,,ni mmoja kati ya watu walio anzisha Jehovah WitnessSijui kama hilo litaweza kutokea.