Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 14,486
- 18,309
Wasabato au Waelleni,
sio dhehebu la kuhubiri Injiri ya Yesu kristo.
Malengo yao ni mawili tu
1.Kuitanga Sabato
2.Kuwakashifu viongozi na waumini wa dhehebu la Roman Kathoric
Hayo ndio majukumu waliyoachiwa na nabii wao
Ellen G. White.
Hivyo msishangazwe na wanayowaambia, wanatimiza majukumu yao.
Ona hapa Yesu anavyowaagiza wafuasi wake.
"Na katika kuenenda kwenu, hubirini, mkisema, Ufalme wa mbinguni umekaribia. Pozeni wagonjwa, fufueni wafu, takaseni wenye ukoma, toeni pepo; mmepata bure toeni bure"
Mathayo 10 : 7-8
"Basi enendeni, mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa jina la Baba na la Mwana na la Roho Mtakatifu. Na kuwafundisha kuyashika yote niliyowaamuru ninyi; na tazama mimi nipo nanyi sikuzote hata ukamilifu wa dahari.
Mathayo 28 : 19-20
Hayo ndo maagizo ya Yesu Kristo.
Wao ni wanafunzi wa Elleni G. White
Kwani mafundisho yao yanatoka kwa Elleni, ambayo yapo katika vitabu vyake kama
Tumaini Kuu
The Desire of Ages
The Great Controversy
nk.
Hivyo vitabu vinafundisha kutangaza Sabato na kuwakashifu Waroman Kathoric
Hii ndio dhamira ya Wasabato kwa sasa wanajulikana kama
Waelleni.
Kama swala ni kuwaonya wapinga Kristo, basi tungewasikia Waelleni wakipinga madhebu yote ambayo hayafuati mafundisho ya Yesu Kristo kama
Waislamu
Wabudha
Wahindu
Warusiferi
Wapagani
Wajesuit
Wamomoni
Warastafari
Nk
Hao ni baadhi tu ya Wapinga Kristo, yaani hawafuati mafundisho ya Bwana Yesu kama agizo la Ubatizo.
Lakini Waelleni hawawagusi kabisa, wao ni
RC... RC... RC... na hawana uwezo wa kuacha mbiu yao hiyo
Ni maagizo ya Mungu wao Mke