Vi-Bajaji vya Mohammed Enterprises vina kelele mno!

Vi-Bajaji vya Mohammed Enterprises vina kelele mno!

Yaani jamaa bidhaa zake ni vurugu tupu, wanasema yeye hata siku moja hatumii bidhaa za viwanda vyake. Ni kati ya matajiri walioiweka serikali mfuko wa nyuma wa suruali
Anywe ile mimaji yake hajipendi..
 
halafu havieleweki ni machine ya kusaga au ni chain saw.... usiombe ukute vinapanda mlima huo moshi utafikiri gari la miaka mia kumbe number inaanzia D

Hahahaha kuna siku vilipishana kwa wakati mmoja pale shule ya uhuru(kimoja kikielekea Buguruni kingine kielekea usawa wa Lumumba)pamoja na kelele zote za wauza Tv,radio na kelele za wapiga debe ule mtaa ulisimama kwa muda vikiacha watu wanashangaa,ilibidi nicheke pale bi-mkubwa mmoja alipojifunika ushungi na kuanza kupiga kelele eti "magaidi wa somalia wametuvamia"huku akijaribu kuwasukumiza watu wajiokoe kwa kuingia kwenye duka la saa la muhindi.hii thread imenikumbusha nimecheka sana nikikumbuka ile picha.
 
Hivi vigari vipya vya kichina vinavyotumiwa na bilionea Mo vinakelele kiasi kama una-presha unaweza ukapata stroke! hivi hakuna namna ya kuvifungia silencer kwenye exhaust pipe?! vyombo husika mlitizame hili.

Pia nimpongeze kwa huu mpango kabambe wa kubana matumizi na ku-maximize profit, hongera!

Nasikia havitumii mafuta vinatumia maji, ila kiukweli ni kero sana yale makelele
 
Mbaya zaidi wafanyakazi wake wanateseka sana unawezafanya kazi hata miaka 20 kama kibarua, ukienda kiwanda chake cha vibiriti kule mbezi jogoo ndio tabu kabusa vibaria wanadhulumiwa pesa kila siku, wanafanya jazi masaa 12 wanalipwa 3500, jmos ni nusu siku lkn kule ni full day hamna overtime kwa wafanyakazi, halafu hapeleki pesa kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii hatujui kama kodi inakuwaje
 
Huwa wanafunga zile engine za kichina ambazo ndizo hutumika kusaga unga, ku-pump maji, kuchimba visima, hutumika pia kwenye site dumpers za ujenzi, kupandisha zege kwenye maghorofa, kwenye mixer za zege N.k..

Nadhan wew ni Mhandis maana hizo terminologies ulivyozipatia najua u mtaalam. Utakuwa unajua vizuri BS 8110, pia CBR, AASHTO!
 
Maji ya METL huwezi kunywa yakiwa ya moto, inabidi unywe ya baridi ili ule ubaya wake usiusikie sana. METL sio kama AZAM au IPP, METL kamwe hawezi onyesha jinsi viwanda vyake vya chakula au vinywaji vinavyofanya kazi

Ni machungu siyo mazuri kwa afya ya binadamu hasa watoto wadogo
 
ni ujinga wa mengi kujaza tu maji kwenye kopo na kuuza bei ghari

Mengi,Gachuma hawana mamlaka ya kupanga bei za bidhaa za coca cola,angalia maji ya dasani au kilimanjaro yanatengenezwa under licence ya coca cola,xo pinguza chuki kwa Mengi!
 
ni kweli mo" kutumia vile vibabaji ni kushusha hadhi kampuni yake...
 
ni ujinga wa mengi kujaza tu maji kwenye kopo na kuuza bei ghari

Honestly maji ya Kilimanjaro yana ubora kuliko maji ya Uhai na mengineyo.Hayana ladha ya uchung,yana ladha nzuri acha tu yauzwe hiyo bei yaani kiroho safi nayanunua.
 
Achana nazo huyo aliesema ni mfanyakazi wake nilikutana nae akasema hayo.
Mdau asante,acha nirudi kwa Bwana Sukari tu KILOMBERO kulikonilea,what i know jamaa huwa ana import sukar kisha anaipak kwa logo yake
 
Mbaya zaidi wafanyakazi wake wanateseka sana unawezafanya kazi hata miaka 20 kama kibarua, ukienda kiwanda chake cha vibiriti kule mbezi jogoo ndio tabu kabusa vibaria wanadhulumiwa pesa kila siku, wanafanya jazi masaa 12 wanalipwa 3500, jmos ni nusu siku lkn kule ni full day hamna overtime kwa wafanyakazi, halafu hapeleki pesa kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii hatujui kama kodi inakuwaje
While mwenyewe Mo anajigamba ana idadi kubwa ya Watanzania amewapa ajira,jamani watu wana ngendembwe
 
halafu havieleweki ni machine ya kusaga au ni chain saw.... usiombe ukute vinapanda mlima huo moshi utafikiri gari la miaka mia kumbe number inaanzia D

Ila jamaa nae hana ubunifu, au kapewa bure avijaribu maana sibora angenunua vikirikuu tu..
Makelele kibao nabado havina mwendo kabisa.
 
Back
Top Bottom