Vi-Bajaji vya Mohammed Enterprises vina kelele mno!

Vi-Bajaji vya Mohammed Enterprises vina kelele mno!

Huwa havichelwi kuanguka tairi moja ikiingia kwenye shimo.
 
Yaani mimi nikiona nembo ya METL situmii hiyo bidhaa, huu ni ushauri nilipewa na wafanyakazi wa METL tukiwa baa fulani. Hata wafanyakazi wa METL huwa hawatumii hizo bidhaa, kuna siri kubwa. Ila kwa kweli kateka soko la watanzania wengi kwa umasikini wao, ni bei rahasi, kwa mfano maji lita moja na nusu ni mia sita tu wakati ya kilimanjaro ni buku jero.

Kuna alidai kuwa anamchezo wa kubadili viroba kama mchele umekwisha muda wake ana re pack kwenye viroba ambavyo tarehe ni valid.
 
Vingekua havina kelele vingekuwa vizuri sana tatizo vinaunguruma mno!
 
mim huwa nawaza je tairi la mbele nikichomoka ni kitu gan huwa kinafuata! halafu vinamakelele utadhani Urus wamerusha roketi angani
 
Wavulana wa Dar hamuishi vituko. Juzi mmewakimbia watoto wa Panya Road. Leo mnalalamikia Gari-bajaj za Metl?
Yaani kelele na vurugu zote za viwandani, majenereta na magari makubwamakubwa zilizojaa Dar mmeona za kawaida ila Bajaj za Mo ndo inawawia kero?

Dah ni shigidashida. Mwanaume yuko chimbo anapiga hela na vibajaji vyake alafu we loser uko nyuma ya keyboard unaandika pumba? Utaingiza hela saa ngapi we boya?
 
Jamani naomba kuuliza, ni vile vyenye tairi tatu na bodi kama fuso? Nakutana navyo sana hapa Quality Center vinaunguruma moshi mweusiiiii na mwendo slow yaan kelele kama mashine ya kukoboa mahindi
 
Vile havifai kabisa kwa afya zetu vinatoa sana moshi na mikelele kibao
 
Kuna alidai kuwa anamchezo wa kubadili viroba kama mchele umekwisha muda wake ana re pack kwenye viroba ambavyo tarehe ni valid.

Yaani jamaa bidhaa zake ni vurugu tupu, wanasema yeye hata siku moja hatumii bidhaa za viwanda vyake. Ni kati ya matajiri walioiweka serikali mfuko wa nyuma wa suruali
 
ni ujinga wa mengi kujaza tu maji kwenye kopo na kuuza bei ghari

Maji ya METL huwezi kunywa yakiwa ya moto, inabidi unywe ya baridi ili ule ubaya wake usiusikie sana. METL sio kama AZAM au IPP, METL kamwe hawezi onyesha jinsi viwanda vyake vya chakula au vinywaji vinavyofanya kazi
 
Back
Top Bottom