dabluz
JF-Expert Member
- Feb 28, 2013
- 2,455
- 1,679
Mfano Mzuri ni juice zake, usijaribu kunywa.
Kaka hii kweli nilikunywa moembe mungu wangu sirudii tena, Kwanza nilipata shida kuimaliza na nikile kodogo lakini kina harufu ya madawa kibao..
Mfano Mzuri ni juice zake, usijaribu kunywa.
Mengi alishauza brand ya maji ya kilimanjaro, siyo yake tena
We..! Isije ikawa ni sumu ya panya road!Kaka hii kweli nilikunywa moembe mungu wangu sirudii tena, Kwanza nilipata shida kuimaliza na nikile kodogo lakini kina harufu ya madawa kibao..
Hivyo vibajaji-gari sivipendi kweli. Kwanza kelele alafu sivipendi tuu.
mi huwaga vinaniletea gundu. nikikutana nacho basi siku hiyo nux tu hata hela hupati.
Wagalatia mna chuki na Mali za waislam yaani hamna raha kabisa maskini wee sasa mbona mtapata presha za milele maana waislam ndio tunaoshikilia uchumi Wa nchi hii
Ila Bahresa ndo kawafunga midomo hamna la kumrudisha Nyuma bado kidogo tu ataanza kuwauza mpaka nyie wagalatia chezeaa
Tafadhali naomba utupie hako kapicha humu.., nilikuwa nakatafuta sana..nimeona picha zake sidhani kama vinauimara sana...vichafua mazingira kwa moshi wake na makelele
Maji ya METL huwezi kunywa yakiwa ya moto, inabidi unywe ya baridi ili ule ubaya wake usiusikie sana. METL sio kama AZAM au IPP, METL kamwe hawezi onyesha jinsi viwanda vyake vya chakula au vinywaji vinavyofanya kazi
Ana hisa 10% TBS..!!Mkuu upo sahihi kabisa, unywe ya baridii tena kunywa kwa mkupuo mmoja unless ukirudia yanakuwa na ladha mbaya sana, hivi TBS haya wanayaona kweli?
Ana hisa 10% TBS..!!
We kwa akili yako unafikiri ile ni kampuni ya mohammed, kachukua mkopo benki ya mkombozi na hajarudisha.., asubiri kufilisiwa tu..Ingekuwa vinamilikiwa na bwana machache wote mngevipenda humu ila kwasababu tu mmiliki ni Mohammed baasi
Mkuu upo sahihi kabisa, unywe ya baridii tena kunywa kwa mkupuo mmoja unless ukirudia yanakuwa na ladha mbaya sana, hivi TBS haya wanayaona kweli?
Ingekuwa vinamilikiwa na bwana machache wote mngevipenda humu ila kwasababu tu mmiliki ni Mohammed baasi
Hivi vigari vipya vya kichina vinavyotumiwa na bilionea Mo vinakelele kiasi kama una-presha unaweza ukapata stroke! hivi hakuna namna ya kuvifungia silencer kwenye exhaust pipe?! vyombo husika mlitizame hili.
Pia nimpongeze kwa huu mpango kabambe wa kubana matumizi na ku-maximize profit, hongera!
Wagalatia mna chuki na Mali za waislam yaani hamna raha kabisa maskini wee sasa mbona mtapata presha za milele maana waislam ndio tunaoshikilia uchumi Wa nchi hii
Ila Bahresa ndo kawafunga midomo hamna la kumrudisha Nyuma bado kidogo tu ataanza kuwauza mpaka nyie wagalatia chezeaa[/QUOT
acha udini wewe..