kwanza pole sana mkuu na pili hongera.kwa wew unaeomba ushauri juu ya cheti ni kuwa kwa cheti utapata na kama utapata cha gred 1 utapata kaz kwa sababu umesema wew ni fund lkn kama unaenda kusoma ili upate ujuzi nakupa pole sana kwan hizo hela umewapelekea wakina .........wazitafune.
Na wew uliye mshauri umechanganya mambo yeye anaenda kusoma na kufanya mitihan ya trad test ambayo vyet hutolewa kwa grad ukianzia 3,2 na 1.
Na wale wanao soma kwa mfumo wa cbet vyet vyao hutolewa kwa level ukianza na 1,2 na 3.
Kwa ushauri wangu wa bure kama unataka chet na wew ni fund endelea na ufundi na ikifika kipind cha mtihan wew kapige paper 2.mitihan ya trad tast huwa wana copy mitihan iliyo pita kama hauamin tafuta mitihan 6 ya nyuma mwez wa 5 mi 3 na mwez wa 11 mi 3.halaf ujionee.
Mi nimesoma hapo auto electrical grad 3,2 na 1.
Na electronics level 1 na 2.