- Thread starter
- #21
Sasa ndo udambu gani huu umetuwekea?????? Ungepeleka huko kiss fm labda ungeeleweka.
Mambo yangu na Eliza yalikuwa poa sana online.
Kipindi hicho smart phones sidhani kama zilikuwepo so mambo yetu yote yaliishia kwenye voda kwa voda, mawasiliano yetu utadhani ni watu tuliojuana muda mrefu. Kuna kosa nilifanya, that's why naandika hapa kumwomba msamaha