Ngoja wajanja waachie video ya pili ndo ataelewa sasaAmesema yeye ni a daughter of Zion she stands with her husband
Za chini ya kapeti ni kwamba zipo video 4 mpyaaa, watu walimseti manzi akajilengesha kwa baba Askofu, na ile sio mara yake ya kwanza kujirekodi nae. . . . .Yule mama ana mpenda sana play boy askofu haya hayamsumbui. Kumbe kuna ya pili!!
Yule ni baba askofu katika ubora wake wa kucheza sindimba. Anakataa bure lakini ukweli anaufahamuZa chini ya kapeti ni kwamba zipo video 4 mpyaaa, watu walimseti manzi akajilengesha kwa baba Askofu, na ile sio mara yake ya kwanza kujirekodi nae. . . . .
Pale nimewaza mambo matatuYule ni baba askofu katika ubora wake wa kucheza sindimba. Anakataa bure lakini ukweli anaufahamu
Kwenye ndoa kuna mengi sana. Mfano ninakupa kuna mmoja wa mawaziri wakuu wastaafu alialikwa kwenye graduation ya Jangwani girls kama mgeni rasmi. Alikaona kadada ka form four mzee moyo ulipenda. Alimuachia mlinzi wake kazi ya kufuatilia mpaka mawasiliano na binti yakapatikana.Pale nimewaza mambo matatu
1. Ni either hii video ilirekodiwa kitambo na mama ilishamfumania mda mrefu na wakayamalizaga kitambo ndio maana aliamua kumuunga mume wake mkono
2. Aliamua kumtetea na kuungana nae ili ugali uende kinywani na kuendelea kubakia kama mke wa baba askofu
3. Waliamua kutengeneza picha kama mama ameamua kuside na askofu na hakuna baya lolote meanwhile nyumbani kunafukuta kuhusiana na hili swala
Kwa kifupi tuipe mda mchache tu tutaskia majibu ya moja ya hizo theory hapo juu
Hahah duh, hiyo ni mechezo ya kimafiaKwenye ndoa kuna mengi sana. Mfano ninakupa kuna mmoja wa mawaziri wakuu wastaafu alialikwa kwenye graduation ya Jangwani girls kama mgeni rasmi. Alikaona kadada ka form four mzee moyo ulipenda. Alimuachia mlinzi wake kazi ya kufuatilia mpaka mawasiliano na binti yakapatikana.
Majibu yametoka ya form four binti alisomea u nesi. Amemaliza mzee alimnunulia nyumba mbili. Mtaani watu walimfinya jinsi u nesi unavyo lipa Ulaya ambane waziri amtoe.
Wakati huo ilikuwa karibu na uchaguzi, waziri ushirikiano umepungua. Yule dada aliprint picha za mahaba na mtoto wake akazipeleka kwa mke wa waziri mkuu. Mama alipanick, mzee alimuweka sawa akamuambia uchaguzi unakuja sasa unataka upinzani wapate sababu? Tushirikiane kumtengenezea binti safari aondoke.
Visa ilitafutwa ya binti na mwanae na pesa juu wakaondoka.
Dah alooo sema muhimili wa ndoa na ili idumu ni mwanamke kama ukipata mwanamke kichakicha wala c mstaarabu kesho tu kaenda kwa mchungaji na ukoo kuwaambia. Nimetambua sasa kwañn Mungu alitaka wanawake wawe na Utii kwa wame zaoKwenye ndoa kuna mengi sana. Mfano ninakupa kuna mmoja wa mawaziri wakuu wastaafu alialikwa kwenye graduation ya Jangwani girls kama mgeni rasmi. Alikaona kadada ka form four mzee moyo ulipenda. Alimuachia mlinzi wake kazi ya kufuatilia mpaka mawasiliano na binti yakapatikana.