Verossa

Hebu kwanza nitake radhi....Tangu lini babu akakibizana na vijukuu?

Nilishakueleza wewe uwe na adabu kabla sijakupiga laana ukawa chizi...!!!
 
Hebu kwanza nitake radhi....Tangu lini babu akakibizana na vijukuu?

Nilishakueleza wewe uwe na adabu kabla sijakupiga laana ukawa chizi...!!!
Afu babu unajua nimekumiss sana aisee.
Kesho mosi naja....niandalie yule mwanao kwa matumizi binafsi, yule wa pale mkhahawani.

Ila nimekumiss sana....sijui una nini changu aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…