Inside verrosa
Nasikia hainaga ushemeji tunakulagaaNaona unafukua makaburi mama. Heri ya mwaka mpya.





Hivi kumbe inabadilika eeh.
Ila IST naona anashikilia top 3 mwaka wa nne mfululizo.





Nilisikia umeolewa ukahamia Moro...sitaki kesi mimi.
Nawe pia mama angu...kuadimika vepeeeeeNaona unafukua makaburi mama. Heri ya mwaka mpya.
Nawe pia mama angu...kuadimika vepeeeee
Ilianza verossaHivi kumbe inabadilika eeh.
Ila IST naona anashikilia top 3 mwaka wa nne mfululizo.
Hahaaa...Mungu anakuona ujue!Vyuma mama, hela ya bando hamna.
Kweli tena madam, naomba hata buku tu basi.Hahaaa...Mungu anakuona ujue!
Oooh Mentor jamani, miss u shem wangu!Shikamoo mwaaalimu
Hahahaaaa...mwezi January!!!hata 100 sinaKweli tena madam, naomba hata buku tu basi.
Hahahaaaa...mwezi January!!!hata 100 sina