Verossa

Verossa

Creative...nimependa but bado dada zetu wengi wao hawapati funzo nao waingia huko huko

Asante mkuu!

Hata hivyo tusikate tamaa...kuna vitamaa vya vitu vidogo vidogo vinawaponza sana dada zetu. Mfanoo mzuri fuatilia hiki kinachoendelea hapa! Mkaka wa watu RRONDO kampenda binti kabisa kabisa..binti kaona huyo hatoshi kaenda kujivaa kwa mzee anayekaribia kustaafu Asprin.

Na haya ndiyo maisha ya mtaani.

Hahaha ndio anachomaanisha?

Sina maana hiyooooo Cc: Asprin

Mwalimu wangu kipenzi RRONDO uko wapi baba, kwakweli alichokufanyia huyu mwanamke mungu anamuona!!
Kuja unywe juisi upunguze machungu.

Walai wewe na delilah mmepishana kidogo sana...

Ataweza hata kunywa mwenyewe kweli au umnyweshe tu

Mama na mwana...!

Unampenda eeeh!! Basi you have the funiest way of showing it.

Hadi umeongea kikoloni daadek kweli mwalimu alifanya kazi yake!!!
 
Hahahaha wewe sio mzima hapa hakuna bwawa ila kuna ziwa victoria

General Lake Victoria Facts
  • It is Africa's largest lake and has a surface area of 26,600 square miles (68,800 square kilometers).
  • It is the largest tropical lake in the world.
  • It is the world's second largest freshwater lake measured by surface area.
 
Asante mkuu!

Hata hivyo tusikate tamaa...kuna vitamaa vya vitu vidogo vidogo vinawaponza sana dada zetu. Mfanoo mzuri fuatilia hiki kinachoendelea hapa! Mkaka wa watu RRONDO kampenda binti kabisa kabisa..binti kaona huyo hatoshi kaenda kujivaa kwa mzee anayekaribia kustaafu Asprin.

Na haya ndiyo maisha ya mtaani.

Sina maana hiyooooo Cc: Asprin

Walai wewe na delilah mmepishana kidogo sana...

Mama na mwana...!

Hadi umeongea kikoloni daadek kweli mwalimu alifanya kazi yake!!!
Hivi we mchaga wa wapi una maneno namna hii!!
 
Back
Top Bottom