Verossa

Umemuumiza sana mwalimu wangu, give him time, though imani ikishapotea kuirudisha ni ngumu mnoooo.
Ombea na watoto utoe copy lasivyo unalo!!

Hahahahahahaha ulishaotesha mpapai halafu ukazaa machenza!???

Hii ndiyo njia pekee.

Ufunguo:
- mti wa kushoto - Asprin au Kaizer au Rogie au ....
- mti wa kulia RRONDO.
- mti wa chini (uliopasuliwa) Honey Faith.

Pele limepatwa na gunzi la muhindi, litakunwa na kusuguliwa hadi lijute kwa nini liliwasha
Hahahahahahaha ulishaotesha mpapai halafu ukazaa machenza!???

Hii ndiyo njia pekee.

Ufunguo:
- mti wa kushoto - Asprin au Kaizer au Rogie au ....
- mti wa kulia RRONDO.
- mti wa chini (uliopasuliwa) Honey Faith.

Hahaha shikamoo Mentor
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…