Verossa

Verossa

HILI LIUZI MBONA HALINA MANTIKI YOYOTE...
Lakin watu mnaendelea kujaza ma comments tuu?????

Mie mnanikera kishenz....

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
Na wewe ndio ushajaza comment hivyooo, so umejiudhiiiiiii!!
LIUZI la toka zamani kabisa halafu halina hata mantiki yoyote ya msingi nyie mmekazania kujaza ma comments tuu....

Mnanikera kishenz....

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
 
Uko biased!

ile ilikuwa ya jukwaa lile..kwa huku niko very fair..majibu ya mkemia yanaonesha kuna ujauzito wa mapacha...na yai moja lilipevuliwa na mbegu tofauti na yai lingine.

Uchunguzi zaidi kufanyika kubaini mbegu hizo ni za kina nani!
 
Mimba ya mchana sio kabisa. Hili kombe tutapigiana penalti
 
Back
Top Bottom