Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,271
- 96,398
Subiri yakukute... usinitafuteAchana na hicho kizee.Bae wangu usisahau pizza na mango juice leo mimba haitaki chochote...![]()
Subiri yakukute... usinitafuteAchana na hicho kizee.Bae wangu usisahau pizza na mango juice leo mimba haitaki chochote...![]()
Eti?!!!Nahisi kama mamlaka zangu zinaingia kwenye himaya yako bila posho...
Chicken eeeeh halafu waweke na pineaple sawa bae!Ok ngoja nipite hapa pizza hut
Hebu usinichurie mie hebu nipishe nipite....Subiri yakukute... usinitafute

Sawa bae.Chicken eeeeh halafu waweke na pineaple sawa bae!
Uzuri mi ni muumini wa rule #3 ya infidelity... Kizuri mtu hula na nduguye!!Eti?!!!
Sio mimi, ni huyo shetani kwenye viuno vyenu.Hebu usinichurie mie hebu nipishe nipite....![]()
Babu mali za mtu sumu!Uzuri mi ni muumini wa rule #3 ya infidelity... Kizuri mtu hula na nduguye!!
Maziwa siku hizi hata Bakhresa anauza...Babu mali za mtu sumu!
Unatakiwa umshinde shetani atiiiiSio mimi, ni huyo shetani kwenye viuno vyenu.
Hahaaa! Yaani hilo jibu limenichekesha, babu kagoma kuzeeka huyu.
Hahahaaaa!! Mbona shetani.Sio mimi, ni huyo shetani kwenye viuno vyenu.
Ashajichokea huyo bazazi nayeHahaaa! Yaani hilo jibu limenichekesha, babu kagoma kuzeeka huyu.
YNWA.... Najua hata wewe leo uko upande wangu...Hahahahahaha...heee mmegeuza thread yangu mahakama, mitongozo corner, duh!
Ila familia ya atoto ni ya kuwekwa kwenye maombi maalum!!!!
Leo kutakuwa na mechi kali;
Kombe - Honey Faith
Kati ya;
Liverpool ( Asprin )
NA
Manchester United ( RRONDO )
Na mshindi ndo baba kijacho.
Wenu,
Mkemia Mkuu!
10/17/2016.
Bado masaa mawili majibu yatapatikana hapa hapa...sitaki kupingwa kama matokeo ya uraisi!!!
Wewe tunachangamsha genge tu hapa. Familia yetu iko poa hata ukamilifu wa dahariHahahahahaha...heee mmegeuza thread yangu mahakama, mitongozo corner, duh!
Ila familia ya atoto ni ya kuwekwa kwenye maombi maalum!!!!
Leo kutakuwa na mechi kali;
Kombe - Honey Faith
Kati ya;
Liverpool ( Asprin )
NA
Manchester United ( RRONDO )
Na mshindi ndo baba kijacho.
Wenu,
Mkemia Mkuu!
10/17/2016.
Bado masaa mawili majibu yatapatikana hapa hapa...sitaki kupingwa kama matokeo ya uraisi!!!
Si uliyaanzisha mwenyewe acha tuyaendeleze.Hahahahahaha...heee mmegeuza thread yangu mahakama, mitongozo corner, duh!
Ila familia ya atoto ni ya kuwekwa kwenye maombi maalum!!!!
Leo kutakuwa na mechi kali;
Kombe - Honey Faith
Kati ya;
Liverpool ( Asprin )
NA
Manchester United ( RRONDO )
Na mshindi ndo baba kijacho.
Wenu,
Mkemia Mkuu!
10/17/2016.
Bado masaa mawili majibu yatapatikana hapa hapa...sitaki kupingwa kama matokeo ya uraisi!!!
Umejuaje bae wangu ni manchester united?Hahahahahaha...heee mmegeuza thread yangu mahakama, mitongozo corner, duh!
Ila familia ya atoto ni ya kuwekwa kwenye maombi maalum!!!!
Leo kutakuwa na mechi kali;
Kombe - Honey Faith
Kati ya;
Liverpool ( Asprin )
NA
Manchester United ( RRONDO )
Na mshindi ndo baba kijacho.
Wenu,
Mkemia Mkuu!
10/17/2016.
Bado masaa mawili majibu yatapatikana hapa hapa...sitaki kupingwa kama matokeo ya uraisi!!!
Unavyopenda kunisindikiza khaaa!!Si uliyaanzisha mwenyewe acha tuyaendeleze.
Familia yangu iko shwariii, hapa tunamsubiri tu kijacho wa jirani yangu, mie ndio nitamsindikiza kwa mkemia mkuu, teh teh teeeeh!!