Verossa

Verossa

Hahahahahaha...heee mmegeuza thread yangu mahakama, mitongozo corner, duh!

Ila familia ya atoto ni ya kuwekwa kwenye maombi maalum!!!!

Leo kutakuwa na mechi kali;

Kombe - Honey Faith

Kati ya;

Liverpool ( Asprin )

NA

Manchester United ( RRONDO )

Na mshindi ndo baba kijacho.


Wenu,
Mkemia Mkuu!
10/17/2016.


Bado masaa mawili majibu yatapatikana hapa hapa...sitaki kupingwa kama matokeo ya uraisi!!!
Muongeze atoto upande wa Liverpool maanake atashangilia ushindi kuliko Klopp!
 
Kwa mantiki hiyo hii mimba yako ni ya Asprin?

Kumbe ndo maana RRONDO kasema nikuweke upande ule.

Ila jamani mimi refa tu hapa..msiniingize kwenye upande wowote!!!
Uzuri wewe ni refa mwenye beji ya FIFA. Naona unachezesha kwa haki mpaka sasa...
 
Shemeji usiku mwema, shetani asije akanipitia mie

LIUZI la toka zamani kabisa halafu halina hata mantiki yoyote ya msingi nyie mmekazania kujaza ma comments tuu....

Mnanikera kishenz....

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
 
Back
Top Bottom