Verossa

Usimtishe RRONDO bwana hujui anatafuta mwalimu mwenye exposure kama kui (sijui ya simiyu) mwenye nidhamu kama gelofrendi wako na ile sifa nyingine nimeisahau, ila mpenda pesa kama mimi na wewe hataki hata kutusikia.
Mwanamke mpenda pesa ndo analeta maendeleo shauri ake....
 


Damn gal!, hivi vitu gani umeandika hapo juu mweh!, akha mwenzangu nenda ka coordinate na ku geometrize mwenyewe...lol
Jamani nililichukia hili somo, mpaka na lenyewe likaanza kunichukua. Ikabidi nianze kulipenda ili nilimudu, cha ajabu sasa nilipoamua kulipenda ndo nikawa naliweza.
 
Mie mbona mnapenda sana kunisingizia!! kui huyo.
Alafu kweli hizi lipsi kulikoni tena muke ya shaibu?? Yaani unataka umnyonye hadi damu babu wa watu


Jamani, mngejua mie mwenyewe najifunza toka kwake...lol!
 
Hautajutia, yani nilivo hadi namuonea wivu future husband atakaenipata ha ha ha
Evelyn Salt ni Salt kweli oooh chelewa nikikuita shemeji ujue nafunga na mlango


Basi na ijulikane kuanzia sasa..

Afande Mentor
na
Mwalimu Evelyn Salt

Ni ntu na ntuwe!

Nimefunga zoezi la kutafuta mwalimu!

Cc; RRONDO, babu Asprin, mwalimu mkuu snowhite, mwalimu wa nidhamu Madame B, mshenga KakaKiiza

Ndugu jamaa na marafiki...popote pale walipo!!!

Ikabidi nianze kulipenda ili nilimudu, cha ajabu sasa nilipoamua kulipenda ndo nikawa naliweza.

ewaaa..si unaona! Kumbe wala sio gumu ni mentality yako ilikufanya ulione gumu (huenda shule ulikutana na wenzako waliosema huo ni ugonjwa wa taifa, wakakuambukiza).

Na ninaamini wanao watakuwa better students maana hutawaambukiza ugonjwa huo.
 
powerful
 
Mwanamke mpenda pesa ndo analeta maendeleo shauri ake....
Ndio namshangaa mchaga wa wapi huyu sijui!
Hautajutia, yani nilivo hadi namuonea wivu future husband atakaenipata ha ha ha
Evelyn Salt ni Salt kweli oooh chelewa nikikuita shemeji ujue nafunga na mlango
Muache akose mbachao kwa msala upitao.
 
Somo ukilichukia huwezi kuliweza, halikadhalika mwalimu ukimchukia na somo lake unalichukia pia, so ndio ujue ni namna gani upendo una nguvu, 'upendo hushinda yote'.
 
Jiandae kwa mahaba mazito yasiokuwa na kipimo, we ndo lesson plan yangu, we ndo chaki zangu yani you are my everything.... Na shemeji ako ndo mwalimu Frank msigwa
 

Sio kwamba nakuonea wivu umeoa, au namuonea wivu huyo 'mkeo mtarajiwa', la hasha!!!
Wapo wengi walioahidiwa kuolewa na huyo 'mkeo' na wakaangukia pua.
Ila kaa ukijua 'mkeo' huyo anapenda sana pesa, ukiwa huna pesa, utachezea vitasa tu.
Kuna mwenzio 'mtaa wa pili' hajapona alama za vidole mashavuni mpaka leo.
Haya, we okota tu dodo lako chini ya mfenesi.

Afu ukumbuke na ukubali mitara kwa huyo partner wa wizarabya elimu.
....sio wivu, usije sema sijakwambia.
Evelyn Salt mie sikuonei donge ujue.
Hahahahhaha.....Verossa na Celica
 
Jiandae kwa mahaba mazito yasiokuwa na kipimo, we ndo lesson plan yangu, we ndo chaki zangu yani you are my everything.... Na shemeji ako ndo mwalimu Frank msigwa


Wewe ndiwe lindo langu, daima nitakulinda
nakupenda kuliko posho yangu
wewe ndiwe staff shoes zangu, sihitaji kiwi wang'aa kama jua
infact, pendo lako latosha kung'arisha viatu vyangu.
 
Mentor mpenzi mie ni mti wenye matunda usitie shaka kuona nashambuliwa, naomba uniweke kwenye MAHABUSU YA MOYO WAKO TU panatosha
 

Pesa ni kiunganishi kwangu, kama maneno 'na' na 'au'
Hata makusanyo ya barabarani nitampa!!!!

Ulishaona afande aliyefulia wewe!????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…