Verossa

Naona homa kali inakusababishia maruweruwe au vipi?
 
Hahahahaaa isomwe na Valentina kwa hisani ya Mentor

Hivi hili shairi hamuwezi kuliingiza kwenye mitaala ya shule?

Cc: walimu wote gfsonwin, snowhite, Evelyn Salt atoto, geniveros, et al et al...

Naona homa kali inakusababishia maruweruwe au vipi?

Kipindi hicho nilikuwa nimeumia kweli kweli...nilimpenda sana huyu binti, halafu akachukuliwa kirahisi tu na jamaa tena bila hata kutongozwa wala nini! dah those days...the future Mrs. Mentor!!!

Cc: Shark
 
Anyway kijana,tafuta pesa kwanza,vinginevyo utaishia kuwaita wanawake wa rafiki zako ATI SHEMEJI daah,SHEMEJI ati SHEMEJI? wakati huko vyumbani wanajambishwa na kupakuliwa matope hali ya kuwa wewe umekumbatia mto wa pamba.
 
Litasaidia sana, ngoja nilisave kabisa hili
 
Hili shairi nimeshalisoma zaidi ya mara 20 na kila nikilisoma naliona jipya!!! Sijui kwanini lakini nalipenda zaidi ya mashairi yote niliyowahi kuyasoma na kuyakariri. Sio suala la upenzi tu wa mashairi lakini hili bado kwangu linabaki kuwa zaidi ya shairi
 

Ngoja nilisave for future use.
 

Ila mpwa Elli bado una deni la kutuhadithia stori yako...

Kuna mmiliki wa club moja huko Bukoba, alifariki akiwa anakula mzigo kwenye IST, hiyo issue ilitrend sana

Duuuh IST na kilivyo kidogo...au walizima gari aka-suffocate? au...duh sikuisikiaga hii!

Hahaha Inside an IST...
 
Hahaaaaa!! Njoo uwe mwalimu wa kujitolea wa nidhamu utatufaa sana.
 
Hapana my dota hana tatizo kabisa, nae anachangamkia tu fursa, si aliona umetangaza nia kwa walimu.


Haya...yasijemkuta tu ya Frank Msigwa maana saivi mwalimu wa nidhamu ndo anaitwa kwenye kila kesi!!!

Napenda zaidi walimu wa hesabu na lugha...lol..na stadi za kazi, sayansi kimu au sayansi kilimo!!!
 
Haya...yasijemkuta tu ya Frank Msigwa maana saivi mwalimu wa nidhamu ndo anaitwa kwenye kila kesi!!!

Napenda zaidi walimu wa hesabu na lugha...lol..na stadi za kazi, sayansi kimu au sayansi kilimo!!!
Unataka mke au mwalimu wa hesabu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…