Verossa

Hommie waweza nambia hapa mnadiskashen makitu gani.

Na hao uliowa CC katiba yetu inaruhusu?

hommie Asprin amin amin nakuwambia, Mentor anataka kutuaminisha aeti ana mke hapa, nimemwambia amtaje hajasubutu.......

katiba hapo inaruhusu, na rasimu mpya ingeruhusu hadi wanne
 
Last edited by a moderator:
Ninamiliki baiskel Phoenix new model turbo, ila imeisha matairi, nasubiri bosi wangu Mhindi anilipe mshahara nibadilishe tairi nianze kuwatesa mtaani.... utanipenda...

Nimecheka sana
 
niaje KOKUTONA naona mwenyekiti Baba V anakuvunja mbavu, unaifaham verossa.?

Huyu Baba V hana huruma kabisa na mbavu zangu.

Huku kwetu Tanga twaendesha SEHEWA, CHOPA BIKE na VESPER.....VEROSSA hata sijejua mie. Wekamo basi kapicha ili nikiiona nitoke nduki swaiba
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…