m-pm amu na mentor! mie nipo tu hapa nafurahia jamvi na Asprin et al! mzima lakini?
KITAFUNIO FUNZA WA MAITI! :tape: :tape:, KAZI IPO! amu HUJAMBO MDOGO WANGU!aiseee kwa hiyo mimi ndo nina pm za umbea???
Nyie ongeeni huko anayeona nimeandika pm ya umbea aomba afowadiwe kisha aniniforwadie mie baada ya hapo ndo tutaongea ila maneno matupu kelele a debe sizitaki.
CC Mentor KakaKiiza snowhite Nivea gfsonwin snowhite na simu za kifala za kujihisi hisi sizitak.
Nimemaliza karibuni juice ya ndimu
Mke wa ujana wangu........umeanza lini umbea?:A S kiss:
Hommie nipo hapa, huu mthread ukijadiliwa na baraza la kata.....Hapa rasimu ya katiba itapendekeza serikali ngapi?
Yani dogo kapiga biti mods hoi halafu huyo hommie wako Ana kesi na mimi wemuache ajitoe fahamu maana naona lidabokibini linashika chat kwa leo tupo hapa pub!!ngoja natalisubiria hapa kwangu niliwekee miiba ya mbigiri za kizungu!Umesikia Asprinkwani kidogo? Sijui kwa nini sijalala hadi saa hizi...umemwona hommie wangu Asprin apo juu? Msalimie. Haoa mimi na:tape:
Baada ya kusema hayo, unaweza nithibitishia hapa kuna mtu atatakata bafuni?
Hahahahaahahahaah nimecheka kwa sauti mbele ya bia baridi.....Yani dogo kapiga biti mods hoi halafu huyo hommie wako Ana kesi na mimi wemuache ajitoe fahamu maana naona lidabokibini linashika chat kwa leo tupo hapa pub!!ngoja natalisubiria hapa kwangu niliwekee miiba ya mbigiri za kizungu!Umesikia Asprin
Sasa waeza mruhusu mtumishi wako nienende kwa amani, kwa kuwa macho yangu yamemwona Bwana?rudi nyuma yangu shetani.........
Eti baada ya kuishia kwa turnboy!wanaenda hadi kwa dereve mwenewe anaendesha tipper nawao wamepakia humohumo akiamua sianawamwaga huku yopo 120!Madogo hawana adabu kabisa.... wanayasema mpaka malori ya mizigo..Khaa!!
Hahahahahahaha:rip::rip::rip:Eti baada ya kuishia kwa turnboy!wanaenda hadi kwa dereve mwenewe anaendesha tipper nawao wamepakia humohumo akiamua sianawamwaga huku yopo 120!
Hahahahaahahahaah nimecheka kwa sauti mbele ya bia baridi.....
Sasa waeza mruhusu mtumishi wako nienende kwa amani, kwa kuwa macho yangu yamemwona Bwana?