wakati tunazungumzia reality on the ground miaka kama minne iliyopita, hadi tukawa na katiba yetu, watu walidhani siye 'hatumalizi 2013' kama CDM (well hata CDM naona watafika 2015)
leo hii, watu 'wanagombea' kuingia! tena basi kwa fujo...ndo hapo imebidi kuanzisha kikosi cha kujilinda.....I mean sio brigade in the strict sense....umenisoma mwalimu wangu snowhite?
Hii aione Asprin, Teamo, The Boss, RR Fidel80, MwanajamiiOne na wengineo
BCC cacico
snowhite, umeniita shemeji!?? kwa dada yako yupi ulonioza kwake???! usinchurie...
baki to topic...
Ni hivi,
huyu binti somebody alikuwa wangu bikoz ni mimi nilimrushia mistari...
miezi kadhaa baadaye akanambia nimem-mimba...
ngastuka! mbona tulitumia chujio kumimina chai kwenye thermos, iweje chai bado iwe na machicha...
kuchunguza vyema nikagundua kuna jamaa mwenye verossa alifanya mambo...
nikaona nijiweke pembeni kuepuka msongamano...
mie mwenyewe daily nagongea lift ya Remmy na Paloma
sasa basi...
katika machungu hayo nikakaa chini nikaandika beti hizi mbili tatu...
nikagundua yafuatayo...
kumbe verossa imebeba wengi zaidi ya huyu dada yako niliyemtongozaga...
kumbe si verossa peke yake hata cellica inahusika...
ala! hadi vits, duet na bajaji... watu8 akasema, kuna nguvu ya uvutano kati ya jinsia -ke na vyombo vyenye matairi...
chips mayai tu zinatosha...
dada yako huyu alikuwa awe mrs. Mentor hapo mbeleni, ndiyo maana nikaandika 'a future Mrs. Me'...
kimbembe...
watu wakaanza kusemana na kutajana...
sasa kuniondolea mimi lawama waulize wafuatao: amu, Asprin, Paloma, KakaKiiza, Kaizer, cacico, shem Nivea (tena unitake radhi), Nicas Mtei, Bi Suu, Kimey, Mtambuzi mimisa et al...
Verossa....
we mwana we! watoto wabaya sana nyie! mmmmmhhhhhh pole zake bi suuu!snowhite, umeniita shemeji!?? kwa dada yako yupi ulonioza kwake???! usinchurie...
baki to topic...
Ni hivi,
huyu binti somebody alikuwa wangu bikoz ni mimi nilimrushia mistari...
miezi kadhaa baadaye akanambia nimem-mimba...
ngastuka! mbona tulitumia chujio kumimina chai kwenye thermos, iweje chai bado iwe na machicha...
kuchunguza vyema nikagundua kuna jamaa mwenye verossa alifanya mambo...
nikaona nijiweke pembeni kuepuka msongamano...
mie mwenyewe daily nagongea lift ya Remmy na Paloma
sasa basi...
katika machungu hayo nikakaa chini nikaandika beti hizi mbili tatu...
nikagundua yafuatayo...
kumbe verossa imebeba wengi zaidi ya huyu dada yako niliyemtongozaga...
kumbe si verossa peke yake hata cellica inahusika...
ala! hadi vits, duet na bajaji... watu8 akasema, kuna nguvu ya uvutano kati ya jinsia -ke na vyombo vyenye matairi...
chips mayai tu zinatosha...
dada yako huyu alikuwa awe mrs. Mentor hapo mbeleni, ndiyo maana nikaandika 'a future Mrs. Me'...
kimbembe...
watu wakaanza kusemana na kutajana...
sasa kuniondolea mimi lawama waulize wafuatao: amu, Asprin, Paloma, KakaKiiza, Kaizer, cacico, shem Nivea (tena unitake radhi), Nicas Mtei, Bi Suu, Kimey, Mtambuzi mimisa et al...
Verossa....
hakika mke mwenza nimeamini watu wabaya sana! tunda alilila tena kwa miguno! leo anammwaga mwenzie hadharani mchana kweupeeeeeeeee na simba akizaa! mkemwenza niambie mabasi ya kuja kwenu, asubuhi nitafika kuchukua mhutasari wa hii madiskasheni! Asprin mimi ni wako hata ukikosa verossa!
we mwana we! watoto wabaya sana nyie! mmmmmhhhhhh pole zake bi suuu!
ahahahhahahhahah watu wana roho za paka aseehakika mke mwenza nimeamini watu wabaya sana! tunda alilila tena kwa miguno! leo anammwaga mwenzie hadharani mchana kweupeeeeeeeee na simba akizaa! mkemwenza niambie mabasi ya kuja kwenu, asubuhi nitafika kuchukua mhutasari wa hii madiskasheni! Asprin mimi ni wako hata ukikosa verossa!
dadake ni Bi Suu! ni mimi tu! ni mimi wa kuwaleteeni habari! hivi snowhite umenionea wapi gfsonwin, muite harakaaaaaaaaa kwa muhtasari wa hii makitu! mwambie Bi Suu kaumbuliwa mchana kweupeeeeeeee, kabla hata kongamano la waheshimiwa halijahitimishwa!Umenielewa lakini...??!
Ivi dada ako ni yupi maana na mm nshapita kwingi naogopa kutaja jina nkawa nshakosea...
uwiiiiiiiiiiii hivi we ni mwalimu mkuu wa shule gani tena?? mapacha wamemaliza nursery ujue, nataka niwalete huko!umeona lakini!
watoto wabaya sana hawa!