Verossa

Na hili ndilo neno la mwenyekiti

Sifa kwako ee Kaizer
 
Last edited by a moderator:

Hahahaha weeeee unataka nimwite afu nisutwe? Akuuuu....

Afu unaniuzigi weweee... Unapata kiu kipindi cha mfungo? Kwa hasira naenda kuichakachua swaumu...

Lilie ghorofa nimeamua nifuge kuku bhana, wapangaji wagumu kulipa kodi..

BTW hebu nipiem tupange mpango mkakati wa kukutana. Hii mada tukiijadili kwa maandishi vidole vitaota sugu... Majanga!

Baada ya kusema hayo naomba uniruhusu mtumishi wako nienende kwa amani. Wajumbe wananisubiri baraza la kata kule....
 
Thx for explanation! baada ya kujibu ndio nitapewa form za registration or thr is another procedure to follow?

ooh kumbe unafaham procedures, ukishajibu then tutajua kama unahitaji ukaguzi au la, then ndo uingizwe kwen kumbu kumbu,,,normal procedures au sio nemic4u?
 
Last edited by a moderator:
ahahahhahahha sasa shemeji hebu kaa chini kwanza uniambie bana! Kaizer na Asprin please hebu niacheni nilonge na shemeji yangu!
mke mwenza uwe unanisaidiamo kusoma!
SASA shemeji kwani wewe ulimtongoza AU/ukamkula a fine MRS ME!? Asprin shiiip kwayat!

snowhite, umeniita shemeji!?? kwa dada yako yupi ulonioza kwake???! usinchurie...

baki to topic...

Ni hivi,

huyu binti somebody alikuwa wangu bikoz ni mimi nilimrushia mistari...
miezi kadhaa baadaye akanambia nimem-mimba...
ngastuka! mbona tulitumia chujio kumimina chai kwenye thermos, iweje chai bado iwe na machicha...
kuchunguza vyema nikagundua kuna jamaa mwenye verossa alifanya mambo...
nikaona nijiweke pembeni kuepuka msongamano...
mie mwenyewe daily nagongea lift ya Remmy na Paloma

sasa basi...

katika machungu hayo nikakaa chini nikaandika beti hizi mbili tatu...
nikagundua yafuatayo...

kumbe verossa imebeba wengi zaidi ya huyu dada yako niliyemtongozaga...
kumbe si verossa peke yake hata cellica inahusika...
ala! hadi vits, duet na bajaji... watu8 akasema, kuna nguvu ya uvutano kati ya jinsia -ke na vyombo vyenye matairi...
chips mayai tu zinatosha...

dada yako huyu alikuwa awe mrs. Mentor hapo mbeleni, ndiyo maana nikaandika 'a future Mrs. Me'...


kimbembe...

watu wakaanza kusemana na kutajana...

sasa kuniondolea mimi lawama waulize wafuatao: amu, Asprin, Paloma, KakaKiiza, Kaizer, cacico, shem Nivea (tena unitake radhi), Nicas Mtei, Bi Suu, Kimey, Mtambuzi mimisa et al...

Verossa....
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…