venue ya utumishi necta mbezi beach ndo wapi?

venue ya utumishi necta mbezi beach ndo wapi?

zainath

Member
Joined
Oct 30, 2013
Posts
16
Reaction score
5
nimeitwa kwenye interview 25/5 na secretariat ya ajira mahali pa kufanyia interview ni NECTA, MBEZI BEACH ONE KARIBU NA SHULE YA ST. MARYS. Mm sijawahi kwenda huko je kwa anaepajua ukipanda basi unashuka kituo gani? na ukishashuka unaelekea wapi?
 
Ukishukia mbezi makonde ulizia tu hutapotea BTW why wakafanyie huko
 
Kama alivyosema mkuu apo juu shuka mbezi makonde chukua bajaji waambie wakupeleke baraza haizidi buku 2
 
Ukishukia mbezi makonde ulizia tu hutapotea BTW why wakafanyie huko

Kuna vitu vinashangaza sana. Idadi ya shortlist ni almost 1000.
Kwa nini hawakufanya consideration ya usafiri ktk kuamua location ya interview?

Hebu fikiri watu karibu elfu moja kwenda huteseka na kuhangaika na usafiri wa bodaboda/bajaji?

Haya mambo ndiyo huwa yanashusha usomi tulionao.
 
Mbezi one ilijengwa kuwa kituo bora kwa kazi maalumu hasa zile zenye kuhitaji accomodation ya maelfu ya watu, ni poa tu kufanyia huko, si unajua interview za siku hizi, ajira 10 wataibuka watu elfu 10!
 
Back
Top Bottom