Vazi la kingoni.

St. Paka Mweusi

JF-Expert Member
Sep 3, 2010
7,894
5,032
ngoni02.jpg


Watani zangu naomba mnisaidie jina la hiki kivazi na mbona siku hizi hamkivai?
 
na hivyo huko puani ni nini?...kweli watani wako paka ni kiboko
 
Mtani fuatilia historia na njia walizopita wangoni toka mfekane mpaka kufika songea na kuwafukuza wandendeule utakikuta hicho kivazi.

Paka mweusi na nyie origin yeni wapi!? maana wanasema karibu kila kabila hapo bongo lina background, mfano wangoni south, sijui wanasema wa Arusha wanatoka sijui Eritrea au Ethiopia sijui! ngoja nifanye research humu kwa net!!
 
Duh huyu wakunyumba kabisa hahahaha!na jina lake ni Mapunda lol!

Nasikia wangoni baada ya kuwafukuza wandendeule wakabaki na kazi ya kutafuta majina mapya ma katika yote wakaona bora wajiite majina ya wanyama kama vile Ngonyani,Mapunda,Simba....,Ntwiga,Nnyani n.k.
 
Back
Top Bottom