Vazi jipya la CHADEMA

Vazi jipya la CHADEMA

Joined
Apr 28, 2011
Posts
41
Reaction score
19
Naam

sasa nchapata sababu ya kuanza kuwapenda CHADEMA. Naomb CCM msinisute kila mmoja anapenda chama na sababu zake

haya ndio mambo tunayotaka sie....kilichobaki ni freeman kuftarisha tuu bas!

pp34.jpg

wed.jpg
 
vazi zuri kwa linaowahusu! na kulheshimu. vinginevyo siasa tu
 
Vazi la ukanda wa Pwani wa Bahari ya Hindi. Zitto bado kijana zaidi ila Mbowe angenogesha na mkwaju/bakora. Kwa ujumla wako bombaaaaa.
 
ha ha ha ha -- mwezi mtukufu huu jamani lazima tupeane kampani si kwa futari tu hata mavazi. nishamwambia ma msapu atayarishe kanzu yangu ya kibaragashia cha ki ushikaji tayari kujiandaa kwa pilau la idd - nimealikwa magomeni mwembechai kushirikiana na waumini wa hapo. sisi sote ni dugu moja.
 
wamependeza duuu!
ntatafuta moja na mimi!
 
jamani upande wa pili.... wangetoka viongozi wa CCM wamevaa hili vazi... hii thread ingefika mbali ...
 
Naam

sasa nchapata sababu ya kuanza kuwapenda CHADEMA. Naomb CCM msinisute kila mmoja anapenda chama na sababu zake

haya ndio mambo tunayotaka sie....kilichobaki ni freeman kuftarisha tuu bas!

pp34.jpg

wed.jpg
Huu ujinga upeleke MICHUZI ukajadiliwe.Unaweza kupata washabiki.
 
jamani upande wa pili.... wangetoka viongozi wa CCM wamevaa hili vazi... hii thread ingefika mbali ...

Alivaa Dr Dau wa NSSF wakati wa saba saba, watu humu waliosha vinywa kwa sana tu
 
Back
Top Bottom