Vatican, nchi yenye watu 800 kwa mujibu wa sensa ya 2008

Ninavyojua Vatican no nchi ndani ya nchi ya Italia, hivyo mambo mengi kama ulinzi na mengine yanafanywa na Italia
 
Jamani mnaojua zaidi mwageni facts hapa. Nahisi story ya vatican ni tamu sana. Kuna kipindi Askofu Kilaini alikuwa anatoa kupitia redio Tumaini ila kwa bahati mbaya kutokana na majukumu nilikuwa nakosa vipindi vingi. Kujeni jamani!
Sema Askpfu Kilaini alitumbuliwa pale Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam.
 
Iko hivi, Vatcan Ni mji ambao wanaishi masister na mapadre kwa kiasi kikubwa na raia WA mji huo huwa hawatakiw kuongezeka wapo elf moja Tu... Na akifariki mmoja wanamreplace na wote wanaokaa kule Wako appointed... Ni mji mtakatifu ambao kama nlivosema hakuna anaezaliwa kule.. Maana wanaishi mapadre na maccter Tu japo huduma za jamii karibu zote zipo
 
Mkuu kwani kuzaana ni dhambi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom