Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,526
- 25,736
Society of Jesus(Jesuits) ni Shirika la Mapadre sio jeshi..Ndio vatican ni nchi ndani ya nchi.Wana jeshi lao pia linaloitwa Jesuits
Society of Jesus(Jesuits) ni Shirika la Mapadre sio jeshi..Ndio vatican ni nchi ndani ya nchi.Wana jeshi lao pia linaloitwa Jesuits
Makafiri bwanaunataka kujiunga na magaidi?
Umefanikiwa kumaliza hata darasa la saba. ?Ni miongoni mwa makao makuu ya Illuminate na Freemasonry.Ni chimbuchimbu yao ipo hapo.
Na inasemekana huwezi kuwa Pope bila kujiunga Freemasonry.Geuza Neno Pope anza kulia kwenda kushito utapata Pepo.
mudi hiv kwann alikufa na govi?Makafiri bwana
Fafanua mkuu .....utembee kwa minyato au.Vatikan ndo sehemu pekee ukiingia unatakiwa uwe mnyenyekevu sana
Tena wasejaNafikiri kuna siri iliojificha kati ya uswis na vatikani
Halafu hawa wanajeshi hawaongezeki ni 100 tu tangu mwaka 1506 ni waswis tu