Vashko sande amuoa mama mkwe wake

Vashko sande amuoa mama mkwe wake

Dah imeniuma sana lakini ni madhara ya mabinti kuzaa mapema inapelekea watoto wao kuwa vijana na wao kuendelea kuupenda ujana. kama haujaelewa nitapost tena
 
Mkuu nimefanikiwa kuzuru nchi hii mji mmoja unitwa Bulawayo hawa watu wanatembea uchi wanawake bali wanatembea UTUPU maana zile nguo wanazovaa makahaba usiku kweny kujiuza ndo wao wanavaa mchana na kutembea nazo and ni one cares. Kwa hiyo kutokea jambo hilo sioni ajabu kwao na kumbuka almost 90% ni wakiristo unawakuta wanaomba vichaki huku wakivaa maguo meupe wana mungu kweny nyumba hatoshi kwa hiyo wanatafuta eneo la wazi
sio binadamu,hawa ni wanyama
Mbona Uislam unaruhusu.

Ilimradi wameridhiana.
Ni
 
Huko Zimbabwe hakufai hata kwa mchepuko.polenii
 
Pambana na hali yako umeambiwa huyo mama na mkwe wake ni waislam au chuki tu na roho mbaya vinakuwasha?
Hizi dini za kuruhusu zaidi ya mke mmoja ndio zimeleta uchafu huu

Walaaniwe waasisi wa dini hizi duniani
 
Hizi dini za kuruhusu zaidi ya mke mmoja ndio zimeleta uchafu huu

Walaaniwe waasisi wa dini hizi duniani
Acha dhihaka wewe....kabla ya dini kuja machifu walikua na mke mmoja? Muswati nae ile ni dini??? Wajaluo wanaoa zaidi ya mke mmoja kisa dini ndo iliwafundisha????
 
Mama mkwe ameona mwanae anafaidi...

Hapo ndiyo msemo wa, ukitaka kujua uhondo wa ngoma...



Cc: mahondaw
 
Mbona Uislam unaruhusu.

Ilimradi wameridhiana.
Wapi uislam unaposema ulale na mama mkwe??? Kuna saa comment ya mtu inakueleza jinsi gani mtu anaeandika uwezo wake wa kufikiri ulivyo finyu.
 
Mtu mmoja aliyejulikana kwa jina la Vashko Sande amemuoa mama wa mke wake aliyekuwa mapenzini nae kwa siri kwa muda wa miaka saba

====


tumfweko.com
Man Marries His Mother In-Law As Second Wife After Seven Years Of Secret Dating
Editor01
2 minutes

A Zimbabwean man Vashko Sande has shocked people after marrying his own mother in-law as a second wife whom he dated secretly for 7 years, says he is his own father-in-law.

Vashko Sande did the unthinkable when he fell in love with his mother-in-law, betraying his wife’s trust.

He reportedly became wild and abusive after finding new love and even elders failed to “discipline” him as he defied social norms and married the woman as his second wife.

The wife, Vimbai Magora, failed to come to terms with her husband’s abusive behaviour forcing her to seek help from the long arm of the law.

Magora in her application for a peace order said: “We got married in 2008 and since 2011 my husband became hostile as he had fallen in love with my mother.

“He started beating and insulting me, threatening to chase me and my four children out of our matrimonial home.”

She further revealed that even family elders failed to resolve their problem as he never listened to their advice, but continued in the relationship with his mother-in-law putting their marriage on the rocks.

In response, Sande confirmed the allegations levelled against him saying he loved the two women and wanted to spend his life with them.

“It is true that I am in love with her mother, but I still love my wife as well. Therefore, I would like to spend all my life with them,” said Sande.

Zvishavane magistrate Shepherd Mjanja granted the peace order in favour of Magora.

Sande was ordered not to physically and emotionally abuse his first wife.
View attachment 1246948
Kama nchi nyingi za Africa wangeruhusu maswala ya Bangi ingekuwa hatari sana
 
Acha dhihaka wewe....kabla ya dini kuja machifu walikua na mke mmoja? Muswati nae ile ni dini??? Wajaluo wanaoa zaidi ya mke mmoja kisa dini ndo iliwafundisha????
Huyu binti hana adabu nimegundua hilo tumsamehe tuu
 
Kuna tamthilia ilikuwa inaitwa the bold and the beautiful ilikuwa inaonyeshwa ITV miaka ya 90 hadi early 2000 ndo ilikuwa na vituko vya ndoa za ajabu kama hiyo
Ujinga kama huu hata kwenye movie za wazungu hautaona kamwe
 
Unauhakika analijua uliloliandika hapa?
Rekebisha palipokosewa
Pambana na hali yako umeambiwa huyo mama na mkwe wake ni waislam au chuki tu na roho mbaya vinakuwasha?
Uislamu ni wewe umeuingiza kwa kutafuta uchochezi
dini ziko nyingi zinazoruhusu wake wengi sijaona sababu ya kunilazimisha kusema uislamu unahusika
Acha dhihaka wewe....kabla ya dini kuja machifu walikua na mke mmoja? Muswati nae ile ni dini??? Wajaluo wanaoa zaidi ya mke mmoja kisa dini ndo iliwafundisha????
Ndio dini ninazozungumzia hapa hizo za machifu
 
Back
Top Bottom